msaada kuflash iphone 5

msaada kuflash iphone 5

Mkuu anafungua 100% hata wewe mwenyewe nenda pale kama unashida

wewe utakuwa unazungumzia carrier lock, simu iliyofungwa kwa ajili ya kutumika kwenye mtandao mwingine, icloud lock ni simu iliyopigwa marufuku na server za apple mpaka hapo mmiliki halali atakapothibitika kwa kuingiza iCloud ID na password sahihi! ukijifunza kidogo tu ufanyaji kazi wa apple accounts ungeshajua kuwa haiwezi kufunguliwa kitoto! unahitaji access ya server za apple kuweza kufungua simu ambayo iko icloud locked! developer nguli wa iOS bado wanatoa macho mpaka sasa hakuna solution ya kuikwepa security ya apple. Sasa hivi mtu akinunua iCloud locked iphone atapigia picha, mtaani iPhone 5s zilizofungwa zinauzwa mpaka laki mbili, 5 mpaka laki na nusu, 4s laki moja...we unafikiri huyo erick angekuwa anaweza kuzifungua watoto wa mjini si wangekuwa wanampelekea, tena angepata wateja mpaka marekani! Mtu atakayeibuka na hiyo soliution kama ataamua kutoigawa basi atatajirika ndani ya mwezi mmoja tu, maana hilo ni janga la dunia nzima! Aman Cosmas hebu tuambie vipi "mtaalam" aliweza kukufungulia hiyo simu?
 
Last edited by a moderator:
Huyo mwenye hizo Simu Steve jobs na familia yake huko Marekani hawawezi aje kuiFlash jamaa hapo Msasani sijui Mikocheni. Akiweza kuiFlash nitamnunulia nyingine mbili kama hizo!

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

kijana anakomaa tu bilakujua anachoshabikia! anaropoka tu 100%!!!
 
Jamaa yuko sawa hiyo apple icloud ni lock ambayo, ina watoa jasho bado, lakini huku mtaani iphone 5s tuna nunua mpaka laki 1, coz hazina deal tena na 4 mpaka 4s, ni elfu 50.... Tupe number yake huyo mtu mimi ninazo sim 9
 
muone Ally Kanah ana fundi wake "mkali"....lol!
 
Last edited by a moderator:
wewe utakuwa unazungumzia carrier lock, simu iliyofungwa kwa ajili ya kutumika kwenye mtandao mwingine, icloud lock ni simu iliyopigwa marufuku na server za apple mpaka hapo mmiliki halali atakapothibitika kwa kuingiza iCloud ID na password sahihi! ukijifunza kidogo tu ufanyaji kazi wa apple accounts ungeshajua kuwa haiwezi kufunguliwa kitoto! unahitaji access ya server za apple kuweza kufungua simu ambayo iko icloud locked! developer nguli wa iOS bado wanatoa macho mpaka sasa hakuna solution ya kuikwepa security ya apple. Sasa hivi mtu akinunua iCloud locked iphone atapigia picha, mtaani iPhone 5s zilizofungwa zinauzwa mpaka laki mbili, 5 mpaka laki na nusu, 4s laki moja...we unafikiri huyo erick angekuwa anaweza kuzifungua watoto wa mjini si wangekuwa wanampelekea, tena angepata wateja mpaka marekani! Mtu atakayeibuka na hiyo soliution kama ataamua kutoigawa basi atatajirika ndani ya mwezi mmoja tu, maana hilo ni janga la dunia nzima! Aman Cosmas hebu tuambie vipi "mtaalam" aliweza kukufungulia hiyo simu?
Mkuu habari yako. Natumia iphone 5, ilikuwa na tatizo la betri kutokukaa na charge, lakini bila kutarajia ilizima na kuonyesha logo ya apple kwenye screen. Nilijaribu ku restart lakini bado logo ya apple iko palepale. Nimepeleka kubadilisha betri mpya lakini bado ni same problem, apple logo still ipo kwenye screen. Nini tatizo? Na nini nifanye?
 
Back
Top Bottom