Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,789
- 4,835
Ninawasalimu ndugu wanajukwaa.
Ninaomba maelekezo yatakayokua na msaada wa kunifikisha office za T- Marc na sikika,ni katika michakato ya utafutaji wa makte wa kila siku,nimejaribu kufanya jitihada binafsi kupafahamu mahali hapa bila mafaniko,nimetumia google maps haikunifaa sana.
Ni natanguliza shukrani kwa yeyote atakayekuwa wa msaada katika hili kwa namna moja au nyingine.