Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,789
- 4,836
Wasalaam.
Katika michakato ya utafutaji wa hapa na pale ninalazimika kufika jengo hili,sijafanikiwa kufahamu kwa ufasaha liko eneo lipi,nimetumia google maps search engines haikuwa na msaada sana,hivyo kupitia uzi huu nakaribisha maelekezo yatakayokua ya msaada sana kwangu kufika hapo kwa kutumia daladala (usafiri wa uma),root inayoanzia buguruni/ubungo ,
Natanguliza shukrani!