Msaada: Kudownload game la Eurotruck simulator 2 on android

Haziwez...angalia size ya hyo map

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Nitafanyia kazi bando la usiku mkuu, hatua zake zikoje nikishalidownload mana unaweza usiwe online kwa huo mda.
 
Nitafanyia kazi bando la usiku mkuu, hatua zake zikoje nikishalidownload mana unaweza usiwe online kwa huo mda.
Soma ule uzi nloweka hapa...una hatua zote mkuu

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Daaahhh, umeelezea vizuri hadi mood imepanda hapa.

Nimeacha kulicheza siku nyingi sana baada ya PC iliyokuwa na hilo game kupotea.

Kwa sasa bado sijaliweka tena kwenye PC mpya
 
Daaahhh, umeelezea vizuri hadi mood imepanda hapa.

Nimeacha kulicheza siku nyingi sana baada ya PC iliyokuwa na hilo game kupotea.

Kwa sasa bado sijaliweka tena kwenye PC mpya
Fanya uliweke mkuu..kuna mods za hatar

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Fanya uliweke mkuu..kuna mods za hatar

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Ngoja nitalitafuta niliweke niwe napungia upepo baada ya mizunguko ya kutwa nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…