Sure
Download Euro Truck Simulator 2 (v1.33.2s + 65 DLCs, MULTi41) [FitGirl Repack] Torrent | 1337x
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Wapi unakwama boss
Kaka yani nikiinstall napata ujumbe huuWapi unakwama boss
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Limit installer ulitia tick?Kaka yani nikiinstall napata ujumbe huu
Kuna kibox then kuna maandishi yanasema limit installer to 2 gb of RAM, kuna next.
Nikiclick next inanileta hadi install nikiruhusu inainstall hadi kwenye 42% inasimama hapo hapo haiendelei.
Naomba msaada wako mkuu.
+Limit installer ulitia tick?
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Hapana sikutick mkuuLimit installer ulitia tick?
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Hapana sikutick mkuu nikapiga nextLimit installer ulitia tick?
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Install kwa kutick pale....+
Hapana sikutick mkuu
Nilivyoona limit installer to 2 gb nikahisi labda hadi mashine yenyewe 2 gb tu. Haina haja kuwa connected na net wakati wa installation?Install kwa kutick pale....
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Mashine yenye ram kuanzia 8 kushuka chni..unatick pale..Nilivyoona limit installer to 2 gb nikahisi labda hadi mashine yenyewe 2 gb tu. Haina haja kuwa connected na net wakati wa installation?
mkuu bado inaendelea kuinstall but kwenye desktop zinaonekana mbiliMashine yenye ram kuanzia 8 kushuka chni..unatick pale..
Net lazma..kuna direct x itakua downloaded wakt wa installation.
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Kama windows yako ni 64 bas utarun ets2 ya 64 na kama ni 32 bas utarun setup ya 32 hapo kweny desktopmkuu bado inaendelea kuinstall but kwenye desktop zinaonekana mbili
Mkuu limefunguka la bit 64 ila naona wale madereva wangu wa game la kwanza wametokea na wakati niliunstall pia kuna ujumbe una options za DISABLE INVENTORY na CONTINUEKama windows yako ni 64 bas utarun ets2 ya 64 na kama ni 32 bas utarun setup ya 32 hapo kweny desktop
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Mkuu limefunguka la bit 64 ila naona wale madereva wangu wa game la kwanza wametokea na wakati niliunstall pia kuna ujumbe una options za DISABLE INVENTORY na CONTINUEKama windows yako ni 64 bas utarun ets2 ya 64 na kama ni 32 bas utarun setup ya 32 hapo kweny desktop
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Disable tu apo...create new account playMkuu limefunguka la bit 64 ila naona wale madereva wangu wa game la kwanza wametokea na wakati niliunstall pia kuna ujumbe una options za DISABLE INVENTORY na CONTINUE
Tayari mkuu, then baada ya hapo zile mods za mabarabara mabovu nayapataje mkuu?Disable tu apo...create new account play
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Map Puno Peru v 1.8 « ETS 2 modsTayari mkuu, then baada ya hapo zile mods za mabarabara mabovu nayapataje mkuu?
Kwa hiyo mkuu bila kupakua hiyo map siwezi kuplay? Mana MB zangu zimekataMap Puno Peru v 1.8 « ETS 2 mods
Pakua hyo map,
Pia site ndo hyo inakila aina za mods
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Huwez kuplay hizo road..labda uplay barabara za kwaida hzo zilzokuja na gameKwa hiyo mkuu bila kupakua hiyo map siwezi kuplay? Mana MB zangu zimekata
MB 450 haziwezi zikamaliza mkuu??Huwez kuplay hizo road..labda uplay barabara za kwaida hzo zilzokuja na game
Bando unga hata la usku lile
Sent from my SM-G920P using Tapatalk