Euro truck utakinai kama unatembelea official map zile...Tafuta pc tu mkuu.
Hata hivyo lina mzuka mwanzoni tu. Linakinaisha baada ya muda mfupi tu.
Me ninalo but nina miezi now cjaligusa.
Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
Napataje mods aiseeeh.Euro truck utakinai kama unatembelea official map zile...
Ukitaka enjoy hii game..weka mods za kila aina
Funga horsepower ya kibabe
Badilisha gearbox ,upate gear had 22 uko
Change sound ile...weka sound ya V8 ,utaskia chuma inavyoitika
Horn unafunga mpya,funga sound ya wheel..yani tair inatembea inaachia sound flan hivi
Fanya paint ya kibabe nje,ndani funga skin za maana...
Cargo sasa,kuna mods za overload cargo zile..au unafunga pullin double trailers
Alaf tafuta map za russia ,brazil,peru
Yani unakutana na roughroad kama zote,milima,mabonde,bumps yani huez choka hii game...
Ila ukitembelea kila kitu official..basi hata level 10 hufik.
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Mkuu naomba muongozo hivyo vitu navipata wapi? Mana mimi ninalo Euro simulator 2 kwenye pcEuro truck utakinai kama unatembelea official map zile...
Ukitaka enjoy hii game..weka mods za kila aina
Funga horsepower ya kibabe
Badilisha gearbox ,upate gear had 22 uko
Change sound ile...weka sound ya V8 ,utaskia chuma inavyoitika
Horn unafunga mpya,funga sound ya wheel..yani tair inatembea inaachia sound flan hivi
Fanya paint ya kibabe nje,ndani funga skin za maana...
Cargo sasa,kuna mods za overload cargo zile..au unafunga pullin double trailers
Alaf tafuta map za russia ,brazil,peru
Yani unakutana na roughroad kama zote,milima,mabonde,bumps yani huez choka hii game...
Ila ukitembelea kila kitu official..basi hata level 10 hufik.
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
aisee nilifanya vyote ivi still nikaikinai na kuifutilia mbali, ilikua mawaka 2017, miezi ya katikati ambapo nilimaliza Mario Map (98% explored road)Euro truck utakinai kama unatembelea official map zile...
Ukitaka enjoy hii game..weka mods za kila aina
Funga horsepower ya kibabe
Badilisha gearbox ,upate gear had 22 uko
Change sound ile...weka sound ya V8 ,utaskia chuma inavyoitika
Horn unafunga mpya,funga sound ya wheel..yani tair inatembea inaachia sound flan hivi
Fanya paint ya kibabe nje,ndani funga skin za maana...
Cargo sasa,kuna mods za overload cargo zile..au unafunga pullin double trailers
Alaf tafuta map za russia ,brazil,peru
Yani unakutana na roughroad kama zote,milima,mabonde,bumps yani huez choka hii game...
Ila ukitembelea kila kitu official..basi hata level 10 hufik.
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Hahah sasa ww ndio umeifaidi ets2...sema kiukwel ukicheza kila siku utachoka..yani mi huwa nacheza nikiwa nataka refresh akil yangu..aisee nilifanya vyote ivi still nikaikinai na kuifutilia mbali, ilikua mawaka 2017, miezi ya katikati ambapo nilimaliza Mario Map (98% explored road)
mashine ilkua Volvo fh12, V8, 150000HP (modded) , 30 gears auto , max speed 500Kph kwenye straight lane, 10 wheel - drive , axel ya 2 na ya mwisho zilikua tag-lift
sasa naona hamu inaanza rudi tena
Mkuu ww una Euro truck version ipi kwanza?Mkuu naomba muongozo hivyo vitu navipata wapi? Mana mimi ninalo Euro simulator 2 kwenye pc
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ww una Euro truck version ipi kwanza?
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
ETS 2 mods
Basi ukifka..lichek version yake kwanzaVersion siiukumbuki ila niliidownload hivi karibuni just September I think, nikifika home nitaicheki version yake
Sent using Jamii Forums mobile app
kuload map inakaa sana pale mwanzo.
Kuinstall mods unaweza pitia uzi huu..
Jinsi ya kuinstall mods kwenye Euro trucks simulator 2 - JamiiForums
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Daah we jamaa...umetisha sana..hapo kweny twist ya truck stability nimependa..mana mimi nikilaza kona na 200 lazma nile mzinga...nili upgrade mashine, 16gb , core i5 , 4 cores @ 3.4GHz ikawa haimalizi dakika kulodi
nilikua naicheza na amna kulala, maana Volvo yenyewe ilikua inavutia sio nje tu mpaka ndani (skins, sound + lighting systems za kutosha) rims za matairi zile za bei mbaya, mashine ya nguvu, acceleration ya ukweli, nikiwa nimepaki ukanipita ghafla, nipe sekunde 10 na catch up na wewe, maana ngoma ndani ya sek 5 tayari speedo inasoma 300+
ili gem ni tamu mno, nakumbuka ramani na russia (kwa mario map) , upande wa kaskazini kule juu, daah ni fast lane mwanzo mwisho, nilikua sishuki chini ya 400, nili mod (scs file) curb na kuongeza uzito + kuongeza wheel base ili gari iwe stable zaidi kwenye kona za angle ninyooshe na 300 plus online radio 'truckers FM' ikiunguruma na mziki laiiini
Haha soon mkuu utaenjoyThanks mkuu mana lile la kawaida nililonalo niko bored nalo sana halinipi mzuka kabisa, kama juzi nimecheza sikuwa hata na hamu nalo tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lipo juzi hapa nimemuona jamaa yangu analichezaHakuna Euro truck simulator 2 kweny simu.
Ila playstore kuna games zingine za truck unaweza kujarbu
Ushauri,kama unataka kuenjoy ETS2 basi tafuta pc kisha weka mod zako..
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Hilo la playstore sio la SCS