Msaada: Kucheza watu wawili PES 2014

Msaada: Kucheza watu wawili PES 2014

Joined
Sep 27, 2014
Posts
27
Reaction score
2
Kwa yule mzoefu na football games kama PES 2014 naomba msaada
Nina pes 2014 na 2015 lakini nikiconnect pads za double shock ili tucheze watu wawili haiwezekani so ambae anajua hilo swala anisaidie ili niweze kufanikisha hilo tucheze mashindano watu wawili maana kucheza mtu mmoja tu hainogi so please msaada wenu.
 
haiwezekani kivipi, PES 14 sisi mbona tulikuwa tunacheza wawili, inashindikana kaije hasa?
 
sometimes pes ina matatizo kwenye kurecognise gamepad. au inasoma moja nyingine haisomi. kuna software inaitwa motionjoy. search hiyo utumia kuinstall drivers za pad.
 
Back
Top Bottom