Msaada: Kuchelewa kujiunga na form five 2016

Msaada: Kuchelewa kujiunga na form five 2016

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
51,805
Reaction score
100,943
Nimechelewa kwenda shuleni form 5 kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu. Kikwazo kimeisha, je naweza kwenda sasa hivi?, term ya pili.
Time limitation inasemaje
 
Nenda tu lakini nakushauri uwasiliane kwanza na mkuu wa shule,yeye atakupa maelekezo ya kinachotakiwa.
 
Back
Top Bottom