Seto
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 953
- 56
Habari wandugu, nimepata visenti vyangu sasa nataka usafiri ila kuna selection fulani nimefanya ya magari ambayo nina uwezo nayo na nafikiria kupata mojawapo... Dhumuni ni safari za mbali ambazo ni Dar to Moshi, Dodoma na Mwanza kwa pilikapilika zangu za kibiashara na mambo mengine....
Ombi langu ni yeyote mwenye UZOEFU na mojawapo kati ya haya anisaidie maelezo nipate mwanga zaidi maana nimetembelea website mbalimbali napata information zisizofanana. Haswa haswa kwenye fuel consumption na upatikanaji wa spea......
Magari yenyewe ni
1. Mark II Grande 2500cc
2. Brevis 3000cc
3. Harrier 3000cc
4.Crown Royal Saloon 3000cc ya kuanzia mwaka 2004
5. Isuzu Bighorn 3.1D
6. Nissan Skyline 300GT.