Msaada kuchagua gari please....

Msaada kuchagua gari please....

Nimeipenda hii thread imenielimisha
 
Magari yote uliyoyaweka yanakula wese sana! Naona cc zake kubwa anyway inawezekana hii sio tatizo kwako. Watu wanapenda sana toyota maana spares zake ni nyingi na si ghali sana. Nissan is a good make ila spares zake very expensive na ni adimu lakini unaweza kuagiza. Kama una visenti nunua nissan.
Habari wandugu, nimepata visenti vyangu sasa nataka usafiri ila kuna selection fulani nimefanya ya magari ambayo nina uwezo nayo na nafikiria kupata mojawapo... Dhumuni ni safari za mbali ambazo ni Dar to Moshi, Dodoma na Mwanza kwa pilikapilika zangu za kibiashara na mambo mengine....

Ombi langu ni yeyote mwenye UZOEFU na mojawapo kati ya haya anisaidie maelezo nipate mwanga zaidi maana nimetembelea website mbalimbali napata information zisizofanana. Haswa haswa kwenye fuel consumption na upatikanaji wa spea......


Magari yenyewe ni
1. Mark II Grande 2500cc
2. Brevis 3000cc
3. Harrier 3000cc
4.Crown Royal Saloon 3000cc ya kuanzia mwaka 2004
5. Isuzu Bighorn 3.1D
6. Nissan Skyline 300GT.
 
Unataka gari ya ukweli basi tafuta brevis ya 2500 cc sio 3000 cc,ni very powerfull halafu less consumption! Utastarehe safari zako

mkuu eeeh,kwa makadirio ya chini Brevis ya cc 2500 inakulaje kwa lita moja?
 
RAV 4 ndio mpango mzima

Hizo gari zote ulizo chagua hazina tatizo, na nzuri mno kwa mtu wa kipato cha kawaida 1379755684734.jpg
 
Inategemea matumizi yako makubwa yako wapi,

kama ni mtu wa kusafiri safari ndefu muda mwingi 4x4 turbocharged diesels is the way to go. Ila kama unatumia muda mwingi kwenye misele ya mjini chukua saloons za petrol.

Top priority zako ni zipi ,Economy au luxury? Mara nyingi gari zenye fuel economy zina compromise luxury!

Katika halibya kawaida ni ngumu sana kupata gari litakalo combine Matumizi yako yote, na hii ndio sababu kubwa inayooelekea watu kuwa na magari zaidi ya moja ,

Kama huna hela ya mawazo Jaribu kuangalia specification za Land cruiser V8! 1VD -FTV @ 12 km per litre urban cycle nadhani ni best kwa matumizi yote!
Kaka xtrail nadhani kwenye comfortability na fuel consumption ziko vizuri nazo,labda kama sio choice yake mtoa mada
 
Hapana bwana subaru nigari zuri sana halafu linatulia barabarani asikwambie mtu habari za spea mie ni mmoja wa waliotumia subaru forester haina shida zinapatikana hapa tanzania kwa wingi hivi sasa! Nairobi ndiyo magari yanayochukua nafasi mtaani linaaminika kwa safari then linatulia unapoamua kunyosha mguu worry not
 
chombo hicho hapo chini CIF 5940 USD, siuzi mimi wanauza hawa, checki nao wasikuingize mjini GLOBAL STANDARD CO.,LTD., nilitakaka kuinunua lakini nimeamia kwa discovery, ya 1998 cc 2200, km 94 na ushee, yoyote niliyempa mchongo akiinunua japo kiloba asinisahahu ndiyo uungwana.

h1.jpg h2.jpg h3.jpg h4.jpg h5.jpg h6.jpg
 
Subaru niliifikiria but wengi wanasema spea tatizo....

Usidanganywe na mtu mkuu. Spare za Subaru kwa sasa zinapatikana saana ingawa bei yake iko juu kidogo ukilinganisha na Toyota lakini zinadumu na imara saana.
 
Angalizo kwa unayependa kubuy gari, jambo la msingi angalia matumizi yako je ni mtu wa safari daily mkoa au ni mara1 kwa miezi, thn ukitoka apo inabidi uangalie apa mjini matembezi yako kwnye mihangaiko ni sehemu nyingi kwa siku au chache. kama ni nyingi thn gari yenye 3000cc na kuendelea kiuchumi sio nzuri as tayari kwa level hiyo unacheza chini ya 9km/ltr ila kama pesa ipo hizo engine ni nzuri ni powerful. brands nzuri ni Toyota na Nissan Suzuki sio sana maana Grand vitara kuanzia 2004-2008 alioutsource kwa mhindi sio quality ni nyanya ila.
Gari ninalokushauri mm ni RAV4 ya 1999 au 1998 engine ni 3S kama sijakosea utaipenda ipo economical na powerful ila sio comfortable kucompare na matoleo mengine ila toleo la 2000-2005 kimeo mbaya na hasa ukikuta engine ya D-4 zina masharti x-trail usiogope spear mie inaenda 2yrs nipo poa ila namkubali RAV4 kuliko xtrail hiyo engine alicheza apo.

Angalizo jingine unapo buy gari Japan na sehemu nyngine achia mbali uarabuni na bongo angalia sana MILEAGE za gari ikizidi 90000km sio nzuri sana maana imetembea sana unless engine capacity ni above 3000cc kwa bongo vijana wanachakuchua km. na zaidi ya apo ukipata manual ndio mkataba ni very economical transmission na inadumu kuliko automatic ambazo focus ilikua ni disabled na ladies
 
Habari wandugu, nimepata visenti vyangu sasa nataka usafiri ila kuna selection fulani nimefanya ya magari ambayo nina uwezo nayo na nafikiria kupata mojawapo... Dhumuni ni safari za mbali ambazo ni Dar to Moshi, Dodoma na Mwanza kwa pilikapilika zangu za kibiashara na mambo mengine....

Ombi langu ni yeyote mwenye UZOEFU na mojawapo kati ya haya anisaidie maelezo nipate mwanga zaidi maana nimetembelea website mbalimbali napata information zisizofanana. Haswa haswa kwenye fuel consumption na upatikanaji wa spea......


Magari yenyewe ni
1. Mark II Grande 2500cc
2. Brevis 3000cc
3. Harrier 3000cc
4.Crown Royal Saloon 3000cc ya kuanzia mwaka 2004
5. Isuzu Bighorn 3.1D
6. Nissan Skyline 300GT.

Zote hizi ulizoorodhesha ni bomba sana kwa masafa marefu, tatizo mafuta. Halafu hiyo namba moja tafadhali kama mguu wako wa kulia huwa unapata kifafa wakati mwingine, tafadhali usiichukue kwa masafa ya mbali. Hiyo ni Six Cylinder kumbuka, ni hatatri tupu, ukiwa kichaa kwenye mafuta wala usiiguse kabisa hiyo, ni hatari tupu ndugu yangu!
 
kwa hizo ulizotaja hapo naona harrier itakufaa mkuu.. Japokua natumia mark 2 grande gx 110 na haijawahi kunilet down kwenye safari.. Confortable, stable and yet fuel efficient
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom