inalambaje wese hii mkuu?
Nunua Suzuki escudo 4 valves(V4) ndo itakufaa kwakuwa ina economy engine-1800cc,iko durable,imepanda inaweza kupita rough road,unaweza enda nayo hata kiwanja,inabeba 6 passengers(family)
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Uwezo wa kununua Starlet sina sasa nitashauri nini?
hiyo ni kweli mkuu...spear zake ni kama maprofessa, kwa uchache wao wanajuana kwa majinaSubaru niliifikiria but wengi wanasema spea tatizo....
Inategemea matumizi yako makubwa yako wapi,
kama ni mtu wa kusafiri safari ndefu muda mwingi 4x4 turbocharged diesels is the way to go. Ila kama unatumia muda mwingi kwenye misele ya mjini chukua saloons za petrol.
Top priority zako ni zipi ,Economy au luxury? Mara nyingi gari zenye fuel economy zina compromise luxury!
Katika halibya kawaida ni ngumu sana kupata gari litakalo combine Matumizi yako yote, na hii ndio sababu kubwa inayooelekea watu kuwa na magari zaidi ya moja ,
Kama huna hela ya mawazo Jaribu kuangalia specification za Land cruiser V8! 1VD -FTV @ 12 km per litre urban cycle nadhani ni best kwa matumizi yote!
nimekupata..Nadhani hzi saloon car ungeachana nazo, kisha pambanisha kati ya Harrier na Suzuki (4cylinder) matoleo ya 2005-2008; ni km 14/litre na ziko imara, hazina mambo ya kuchemka kwenye safari ndefu na hata spea za suzuki ni nyingi sana kwa Tanzania. Pia tofauti na Suzuki za matoleo ya 1992-97 ambazo pamoja uimara wake lakini ndani ziko local mno, hizi ni nzuri zaidi ila usichukue suzuki za 98-2003, na baadhi ya za 2005![]()
![]()
Subaru niliifikiria but wengi wanasema spea tatizo....
Inategemea matumizi yako makubwa yako wapi,
kama ni mtu wa kusafiri safari ndefu muda mwingi 4x4 turbocharged diesels is the way to go. Ila kama unatumia muda mwingi kwenye misele ya mjini chukua saloons za petrol.
Top priority zako ni zipi ,Economy au luxury? Mara nyingi gari zenye fuel economy zina compromise luxury!
Katika halibya kawaida ni ngumu sana kupata gari litakalo combine Matumizi yako yote, na hii ndio sababu kubwa inayooelekea watu kuwa na magari zaidi ya moja ,
Kama huna hela ya mawazo Jaribu kuangalia specification za Land cruiser V8! 1VD -FTV @ 12 km per litre urban cycle nadhani ni best kwa matumizi yote!
km age yako ni kati ya 18-35 yrs verossa or mark x itakufaa.
Mkuu vp kuhusu Jeep Grand Cherokee? Iko poa kwa matumizi ya rough roads na safari ndefu? Naipenda sana hii gari ila sina details zake apart from fuel consumption