EL ELYON
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 1,675
- 2,116
JF watu wanadharau sn wakati humu kuna wanaotumia hzo tecno za kawaida kuingia jf na wengne ni kula kulala makwao bt dharau kibao,hiyo tecno inauzwa elf 40 je ni pesa ndogo? mmekalili touch ndo cm tu wakati zna matatzo kibao ukiwa nayo mpaka uwe na nyngne mnayoidharau humu,huo ni uboya.