Nenda kwenye kampuni ya mitandao ya simu, yaani voda, tigo, airtel etc watakusaidia. Ila Tecno mkuu, dah, iachie tu, kufa kufaana.Kwema wakuu!Nimeibiwa simu aina ya tecno T410 nahitaji kuifungia isitumike,ninazo IMEI NO ZAKE!
Ukishapigwa wewe nunua nyingine. Huna haja ya kuiblock.Kwema wakuu!Nimeibiwa simu aina ya tecno T410 nahitaji kuifungia isitumike,ninazo IMEI NO ZAKE!
Hahaahah unanunuaga xa Wizi niniUkishapigwa wewe nunua nyingine. Huna haja ya kuiblock.
We fanya juhudi za kuiblock liwe kopo tuKUNA MWIZI NAMUHISI
Kuna kitu naomba unieleweshe mkuu.. tuseme wakiiblock, inakuwa bado na uwezo wa kushika wireless??Tecno T410!!!!!!
Duuuh hayaaa bana.
Ni simu ya tochi ndio maana nimeshangaajamani member kaomba msaada
msaidieni basi km mnaijua hiyo Tecno T410 tujuzeni na sisi ni ipi ya Tochi au ni hizi za kupangusa (Android)
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haKweli watu wachungu,unaitolea macho mpaka tecno ya button ya 2G!
Ungeibiwa ya 4G si ungemng'oa mtu shingo kabisa?
cha mtu mavi, unafikiri walikoseaHiyo ya 2G inagawiwa bure na hiyo 4G yako inauzwa? Ujinga tu.Kweli watu wachungu,unaitolea macho mpaka tecno ya button ya 2G!
Ungeibiwa ya 4G si ungemng'oa mtu shingo kabisa?