Msaada kubadilisha screen ya Blackberry playbook!

Msaada kubadilisha screen ya Blackberry playbook!

muuza ubuyu

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
3,543
Reaction score
3,604
Habari za kazi wakuu wa Jukwaa hili!
Ninaombeni msaada wadau! Nina Blackberry playbook yangu imepasuka screen yake, msaada kwa ajuaye namna au sehemu yoyote hapa Tz ya kupata screen mpya pamoja na fundi wa kunirekebishia hii kitu!
Thanx!!!
 
nami pia ninatatizo kama lako ,kama umepata ufumbuzi nisaidie na mimi

Pole sana mkuu, inaudhi kweli hasa kama kitu ulikuwa unakipenda! Mpaka sasa sijapata suluhisho kaka tupalangane zaidi mmoja wetu akifanikiwa amjulishe na mwenzake!!
nami pia ninatatizo kama lako ,kama umepata ufumbuzi nisaidie na mimi
 
Uko wap mkuu km uko dar nichek Niku assist kuna watu wanafanya kaz hyo am sure watafix easy
 
Back
Top Bottom