Msaada: Kubadili taarifa za NIDA

Msaada: Kubadili taarifa za NIDA

Habari wakuu, naomba kujua taratibu za kubadili taarifa za nida na vitu gani muhimu vinahitajika. Nawasilisha, asante.
Sijajua kama taarifa za kweli ama laa nadhani itakupa mwanga kama taarifa zitakua za kweli
 
Attachments

  • FB_IMG_17009903465932421.jpg
    FB_IMG_17009903465932421.jpg
    87.1 KB · Views: 109
Fika Ofisi Za NIDA Kupata Muongozo.

Taarifa Zote Ukifika Ofisi Za NIDA Ambazo Ni Ofisi Kuu Utapewa Utaratibu Mzuri Sana.

Kwa Dar Es salaam Walikuwa Kule Kawe Karibu Na Kituo Kidogo Cha Daladala (Kanisani).
 
Habari wakuu, naomba kujua taratibu za kubadili taarifa za nida na vitu gani muhimu vinahitajika. Nawasilisha, asante.
Mimi ni mhanga wa hilo suala, na nashukuru mwaka jana mwanzoni nilifanikiwa kulisolve.

Mimi binafsi Nilifanya hatua zifuatazo.
(1) Deadpool: unaenda kwa mwanasheria yeyote anakutengenezea hiyo document, ina copy 3. Garama ilikuwa 10,000/= inategemea na mwanasheria wako.

(2) Unaipeleka Deadpool ofisi za ardhi, kwa dsm unaweza peleka wizara ya ardhi kule posta. Garama 32,000/= (hii process inachukua karbia week)

(3) Utapewa copy 2 kutoka ofice za ardhi, copy moja utaituma kwenda gazeti la taifa kwa EMS, kutuma ni 15,000/=. Kama upo Dodoma unaweza peleka mwenyewe..

(4) tangazo lako likitoka kwa gazeti, inategemea na muda kwa maana hilo gazeti huea linatoka mara moja kwa mwezi. Utachukua copy ya gazeti, copy ya Deadpool iliyobak, na vyeti vyako vyote then utapeleka office za NIDA ulipojiandikisha then utalipia 20,000/= huko.

Then kazi imeisha. Unasubiri kama week kadhaa wanakubadilishia
 
(2) unaipeleka Deadpool ofisi za ardhi, kwa dsm unaweza peleka wizara ya ardhi kule posta. Garama 32,000/= (hii process inachukua karbia week)

(3) utaoewa copy 2 kutoka ofice za ardhi, copy moja utaituma kwenda gazeti la taifa kwa EMS, kutuma ni 15,000/=. Kama upo Dodoma unaweza peleka mwenyewe..

(4) tangazo lako likitoka kwa gazeti, inategemea na muda kwa maana hilo gazeti huea linatoka mara moja kwa mwezi. Utachukua copy ya gazeti, copy ya Deadpool iliyobak, na vyeti vyako vyote then utapeleka office za NIDA ulipojiandikisha then utalipia 20,000/= huko.

Than kazi imeisha. Unasubir kama week kadhaa wanakubadilishia
Ikiwa na ID Card walikupaga nayo wanakubadilishia au wanadili na Majina tu kwenye system?
 
Habari wakuu, naomba kujua taratibu za kubadili taarifa za nida na vitu gani muhimu vinahitajika. Nawasilisha, asante.
Taarifa ipi ?? Maana taratibu hutegemeana na aina ya taarifa unayotaka kubadili.
 
Procedure ni kama kawaida
But kusubmit hizo documents unakuwa unaweza submit sehem yeyote sio lazima ulipojiandikisha
Mkuu naomba kuuliza kwa mfano nilikosea tarehe ya kuzaliwa ya Mzee vip namna ya kurekebisha na taarifa walisha submit so sahv nasubiri namba zitoke? natanguliza shukran
 
Mimi ni mhanga wa hilo suala, na nashukuru mwaka jana mwanzoni nilifanikiwa kulisolve.

Mimi binafsi Nilifanya hatua zifuatazo.
(1) Deadpool: unaenda kwa mwanasheria yeyote anakutengenezea hiyo document, ina copy 3. Garama ilikuwa 10,000/= inategemea na mwanasheria wako.

(2) Unaipeleka Deadpool ofisi za ardhi, kwa dsm unaweza peleka wizara ya ardhi kule posta. Garama 32,000/= (hii process inachukua karbia week)

(3) Utapewa copy 2 kutoka ofice za ardhi, copy moja utaituma kwenda gazeti la taifa kwa EMS, kutuma ni 15,000/=. Kama upo Dodoma unaweza peleka mwenyewe..

(4) tangazo lako likitoka kwa gazeti, inategemea na muda kwa maana hilo gazeti huea linatoka mara moja kwa mwezi. Utachukua copy ya gazeti, copy ya Deadpool iliyobak, na vyeti vyako vyote then utapeleka office za NIDA ulipojiandikisha then utalipia 20,000/= huko.

Then kazi imeisha. Unasubiri kama week kadhaa wanakubadilishia
Kama ndio ivyo mbona hao Nida wenyewe hawatupi elimu kama hii
 
Mkuu naomba kuuliza kwa mfano nilikosea tarehe ya kuzaliwa ya Mzee vip namna ya kurekebisha na taarifa walisha submit so sahv nasubiri namba zitoke? natanguliza shukran
Kama umekosea tarehe ya kuzaliwa ya mzee hakuna madhara yoyote,

Issue ni kama umekosea taarifa zako binafsi mkuu
 
Habari wakuu, naomba kujua taratibu za kubadili taarifa za nida na vitu gani muhimu vinahitajika. Nawasilisha, asante.
Kwa hali ilivyo serikali itabidi iwe makini na wimbi la wageni wanaoutumia pesa kupata nida, kuna mkenya mmoja chawa wake kanitonya ana document zote ikiwemo nida sasa hii ni shida kwa nchi
 
Back
Top Bottom