msaada kuandaa financial statements | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada kuandaa financial statements

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by twende kazi, Oct 16, 2012.

 1. t

  twende kazi JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,496
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Nimeajiriwa kanisani fresh from school kitengo cha uhasibu nimekuta receipts & payments invoices tu.Hawajawahi kuandaa any final reports wana miradi mbali mbali ikiwemo majengo,magari,mashamba na other revenue centres.Tatizo nawezaje kuandaa statement of financial position while sijui thamani halisi ya fixed assets?mapungufu yapo mengi nitafunguka kadri mnavyonijibu.msaada kwa wazoefu plz
   
 2. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,767
  Likes Received: 2,494
  Trophy Points: 280
  hongera kwa kupata kazi mkuu,kumbuka kazi ni mbaraka
  kwanza naomba upitie topic ya non profit business account! nafikiri itakusaidia its simple but very technical pia rejea kwenye different international standard
  kumbuka uandaaji wake wa financial statement quite different na fs tulizozoea
  fixed asset unaweza kuipata kama ukijua thamani ya manunuzi kwa mara ya kwanza ,alafu pigia gharama ya uchakavu(deprecion rate) mpaka mwaka huu
  pia unaweza kufanya mawasiliano na mhasibu aliyekuachiaofisi kwa taarifa zaidi
  au tafuta financial consultancy atakaye wasaidia kuandaa system nzima ya fedha itakuwa vizuri
  best of luck mkuu kwenye ajira mpya
   
 3. t

  twende kazi JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,496
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
   
 4. V

  Von Mo JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 1,830
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  non-profit organization like that zinakuwa na account:income and expenditure, receipts and payment, b/sheet
  Assets: Angalia documents zilizopo, kwa mfano Majengo yao pindi wana acquire, unacheki na applicable depreciation rate.
   
 5. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,471
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  Simply for you:

  MAPATO/MATUMIZI
  • Kila mapato weka kulia
  • Kila matumizi weka kushoto
  Tofauti ya jumla ya hizo mbili ndio ziada(sio faida)/pungufu(sio hasara)

  MALI/MADENI
  • Kila thamani ya mali weka kushoto
  • Kila thamani ya ahadi weka kushoto
  • Kila thamani ya deni weka kulia
  Tofauti ya jumla ya hizo mbili(kulia na kushoto) ndio thamani yenu kifedha
   
 6. Takalani Sesame

  Takalani Sesame JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mtoa mada, huko shule mlifundishwa nini? Kama ni uhasibu, je hamkufundishwa jinsi ya kuandaa financial statements? Na kama sio uhasibu, kwa nini umeajiriwa katika fani usiyo na utaalam nayo?
   
 7. t

  twende kazi JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,496
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  nafahamu kuandaa statements tatizo sijui thaman ya mali zilizopo mfano wana mashamba ya kurithi,magari ya misaada na majengo wameyakuta so unategemea nitaandaa vp bila kujua thamani halisi?
   
 8. Takalani Sesame

  Takalani Sesame JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kuhusiana na mashamba na majengo kuna professionals wa valuation. Ukiwapata hao watakusaidia kupata thamani yake. Na kuhusu magari, kama unajua ni ya mwaka gani mnaweza kukubaliana depreciation rate kisha mkayapigia mpaka mkapata book value yake kwa sasa.
   
 9. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,108
  Likes Received: 7,366
  Trophy Points: 280
  Unaweza ukaandaa kwa kutumia cost less depreciation, au ukatumia market value.

  kama ni market value na ni mara ya kwanza sio mbaya. But kama ni market value na ulishaandaa kabla basi unatakiwa utoe impairment/loss in revaluation ambayo itapunguza nominal profit.

  Usisahau pia kucheki na cash flows, but pia ratios ni muhimu hasa profitability ratio na performance ratios??

  otherwise kila la heri mkuu
   
Loading...