Msaada; Ku upgrade Android Ice Cream Sandwich kwenda Jelly Bean

Msaada; Ku upgrade Android Ice Cream Sandwich kwenda Jelly Bean

EJM_

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
3,836
Reaction score
2,119
Habari zenu wadau,

Naomba msaada wa namna ya ku upgrade Android kwenye mobile.

Natumia Sony Xperia ambayo original OS yake ni 4.0 ICS, lakini nataka ku upgrade iende kwenye 4.1 Jelly Bean. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu
 
Nikama hiz update sikuhizi hawazitoi auto maticaly but you can update it manualy by rooting you'r phone.if its rooted google android ice files then maelezo ya kutumia hiyo file utayapata hukohuko.vilevile unaweza ingia kwenye store na kudownload app. Iitwayo rom manager itakupa instraction be careful I'll not be responsble for any demage as you doit by you'r self
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom