Msaada jinsi ya ku-block namba kwenye androids

Raggy Singo

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
308
291
Habar za shughuli wakui,poleni na mashughuli katika kujipatia riziki,binafsi ninaomba msaada katika hili,napata tabu sana pale nisipotaka namba flani initafute kimawasiliano,hili lipoje kwenye android wakuu,msaada wenu hutuongezea elimu sana,natanguliza shukrani kwenu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom