Ndikwega
R I P
- Feb 1, 2012
- 5,979
- 5,529
- Thread starter
- #21
Nina Binti Mdogo, ni Mtundu saana Kufungua simu na anaingia YouTube kuangalia Katuni, sasa mama yake Jana kaona tayari kamsoma ile Password, akabadilisha faster, matokeo yake analog in anambiwa Wrong Password! Shida kweli!Hawa watu ni careless kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo we subiri kupewa manung'uniko na lawama kama umeharibu wewe na unaweza nyimwa hah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakina mama mungu anawaona mjue