Ninaomba msaada wa ku-unlock simu yangu ya samsung galaxy s6 edge "Invalid SIM card. Network Locked Sim Card inserted"

pongwer

Senior Member
Mar 19, 2015
174
26
Simu yangu imepata tatizo hili, "Invalid SIM card. Network Locked Sim Card inserted"

IMEI: 357942061597474
IMEISV : 14
Serial no: R38G60K729W.
Model: SM-G925A

Mawasiliano yangu:
0679448195

KAMA KUTAKUWA NA MALIPO UTANICHEKI KWA SIMU KISHA TUTAONGEA VIZURI. Shukrani!
20181027_181125.jpeg
 
Uyo mwenye network lock hawatafute wenye box kwaajili ya kuunlock network au unaweza tafuta crackbox ya z3x Samsung tool h ajaribu
 
Simu yangu imepata tatizo hili, "Invalid SIM card. Network Locked Sim Card inserted"

IMEI: 357942061597474
IMEISV : 14
Serial no: R38G60K729W.

Mawasiliano yangu:
0679448195

KAMA KUTAKUWA NA MALIPO UTANICHEKI KWA SIMU KISHA TUTAONGEA VIZURI. Shukrani! View attachment 912926
Mkuu km upo dar nenda kariako ht yangu ilishaleta shida km yk ila angalizo wahuni wengi kunajamaa aliniambia atanifungulia kwa elfu 45 nikaona nizinguke kunajamaa nikakutanaee anazifungua simu aina zote kwa elfu 15 tu ngoja nitafute business card yak atakusaidia
 
Back
Top Bottom