Msaada ku-unlock Huawei modem e 173

Ahsante sana mkuu.It was vry helpful,nlihangaika sana kutafuta soln 2 this probm ila nimetumia njia yako nikaweza ndan ya muda mfupi.Thanx alot
 
Umetisha mzazi! Ahsante sana:second::second:
 

kazi pouwa mloona mambo haya maana imenitesa kinouma ngoja nijaribu ntarudi
 
thanx sana sana tena sana kaka hii kitu ilikuwa inanizuzua kila leo ila leo nimeipatia yani hapa nacheka ajabu mungu akubariki,
 
lete machanganua hatua kwa hatua how ...? mi ninayo nimeshindwa
 
hiii hapa www.dc uclocker.com unapo kuwa na shida usiwe mvivu wa kufukunyua?? atafutae hachoki akichoka ujue keshapata??

Wew dc unlocker ni ya zte mf 190. Na co e173...uckurupuke ukajua kila moderm ni dc unlocker tu
 
Thanx to gkiwango hatimaye mzigo unapiga kazi line zote za gsm
CHANGAMOTO

Kwa wengi wanaotumia windows 7 ukienda device manager huwezi kuona zile COM namba, chakufanya chagua moja baada ya nyingine hadi ikubali then zile zingine zote unazi remove

wakati unafanya backup ya imei wakati mwingine inaishia 99% inatakiwa uone imeandikwa completed then inakuwa tayari hata kama ipo 99% vinginevyo utasubiri milele ifike 100%

Kumbuka kurename file lako la backup kama DEADD00D_0.qcn vinginevyo litakusumbua kwa kukupa error

Wakati flasher inaupdate firmware hadi mwisho inapokupa error kuwa bin 7 imefail subiri kidogo na hakutakuwa na ishara wala andishi lolote kuonyesha imekemilika ku update, hapo unaweza ku exit na kuendelea na hatua nyingine as long as ile bar inayojaa imefika mwisho, vinginevyo utasubiri milele


Na mwisho kabisa baada ya kumaliza zoezi zima na ukatupia sim card ingine itatambuliwa lakini hakuta kuwa na connection setting
So kwenye dasboard ya airtel Nenda Tools, Options, profile management
The pale kati kwenye VPN tupia neno internet na access number tupia *99#
 

Attachments

  • dashboard.PNG
    41.3 KB · Views: 103
Last edited by a moderator:
Thanx Mkuu Kwa kuleta Feedback nzuri. Hope hizo changamoto zitawasaidia na wengine.

mkuu asante sana kwa huu UZI sababu kama uki-review nyuma nimekuwa m2 wakuomba misaada kadhaa lkn nahisi kuna ki2 kilikuwa kina lack katk PC yangu baada ya kujaribia kwa pc ya mchizi nimeigonga chini y TIGO ,,,kwa ku-rate hii ki2 mmm baada ya ku-back up, modem iligoma kusoma mtandao hata baada ya kuchomoa na kuchomeka,,, lkn nilipoiamisha kwa pc nyingine ki2 ikasoma

I see Ubarikiwe ...Wkizindua modem nyingine ngumu ka hii usisite ku2-upgrade MKUU
 
Pamoja sana mkuu, asante kwa kuleta Feedback.
 
Then kisha angalia katika tabs juu na chagua "Select Firmware" Then chagua extract from EXE. Itafunguka window, sasa locate firmware ambayo ipo folder ulilo extract kabla file nilio ambatanisha, "E1731Update_11.126.15.00.00.B 416" Then itaonyesha kama ifuatavyo
Uncheck 05.bin kama hivi
hapo nimechemka kulipata hilo folder msaada jamani nalipatia wapi baada select fimware hilo nalisearch wapi
 
Venant Ben Sorry kwa kuchelewa kujibu, Tatizo lako cjajua linasababishwa na nini lakini unaweza jaribi hii hapa QPST_2.7_366.zip ikigoma jaribu ku run ktk Xp compatibility mode.

MKUU nashukuru sana maana umenisaidia sana nilikuwa naumiza kichwa namna ya kuchakachua hii modem ya E173 Sasa nimepata jawabu....thanks sana mkuu nakugongea like kwa furaha...........
 
Mie nimejaribu nimeshindwa so what can I do next?
 
ilivyo rahic nataman kama nipate zngne 10 nziunlock coz sha ziunlock 3 na zimekubal
 
adata hapo umesema k2 cha maana hlo folder ni lp!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…