Msaada wakuu driver installation Dell Inspiron 3521

Baba Rhobi

Senior Member
Nov 4, 2020
140
225
Kama topic inavojieleza, nahitaji kuinstall drivers za Bluetooth pamoja na Wi-Fi kwenye PC yangu lakini kila ninayo jaribu hola.

Nimejaribu ku update machine, lakini wapi na hii imetokea nlivo piga window na kui update saiv imeandika kama inavo onekana kwenye picha hapo chini.

DSC_0012.jpg
DSC_0014.jpg
 
Prince Mhando

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
6,380
2,000
Tatizo wabongo tunalokosea ni kutaka kupata option za kulipia bure...window za bure...ukianza kufanya update lazima yakukute hizo update zimewekewa wale walionunua window tu.

Ukitaka kupata feature zote za windows bila shida ni bora ukanunua windows yako...hapa huwezi kupata msaada...labda upige tena hiyo window kisha ufunge kipengele cha update.
 
becknature

JF-Expert Member
Mar 9, 2017
398
500
Mimi sio mtaalamu ila nafikiri drivers za wireless zimemiss kwenye hyo window, hata ukiupdate huwezi pata.
So jaribu kuistall driverpack solution(hii ni software) watakusaidia kuistall missing drivers.
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
24,741
2,000
Kama topic inavojieleza, nahitaji kuinstall drivers za Bluetooth pamoja na Wi-Fi kwenye PC yangu lakini kila ninayo jaribu hola,
Nimejaribu ku update machine, lakini wapi na hii imetokea nlivo piga window na kui update saiv imeandika kama inavo onekana kwenye picha hapo chini. View attachment 1732414 View attachment 1732416
Most of time win 10 haihitaji drivers za wifi na Bluetooth, zinakuja built in.

Kudisable test mode Nenda hapa

ymollel

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,899
2,000
Kama topic inavojieleza, nahitaji kuinstall drivers za Bluetooth pamoja na Wi-Fi kwenye PC yangu lakini kila ninayo jaribu hola.

Nimejaribu ku update machine, lakini wapi na hii imetokea nlivo piga window na kui update saiv imeandika kama inavo onekana kwenye picha hapo chini.

View attachment 1732414 View attachment 1732416

Hiyo TEST MODE maana yake ni kwamba Windows ipo kwenye Test Signing Mode yaani umeDisable Driver Signature Check.

Kuitoa hiyo , fungua CMD kama Administrator halafu weka command hizi mbili.
Command ya kwanza

bcdedit /set loadoptions ENABLE_INTEGRITY_CHECKS

Halafu Bonyeza ENTER (hapo inatakiwa iwe successfully)

Halafu weka command ya pili

bcdedit /set testsigning OFF

Halafu Bonyeza ENTER (Inatakiwa iwe successfully)

Restart computer. Imeisha hiyo

Kuhusu Drivers

Ingia website ya Dell zipo drivers zote kule kwa kila model ya computer ya Dell
 
Baba Rhobi

Senior Member
Nov 4, 2020
140
225
Tatizo wabongo tunalokosea ni kutaka kupata option za kulipia bure...window za bure...ukianza kufanya update lazima yakukute hizo update zimewekewa wale walionunua window tu.

Ukitaka kupata feature zote za windows bila shida ni bora ukanunua windows yako...hapa huwezi kupata msaada...labda upige tena hiyo window kisha ufunge kipengele cha update.
We unafikiri wote tuna huo uwezo wa kulipia hizo gharama za windows, then weka na office, hujaja program zingine.
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
24,741
2,000

Baba Rhobi

Senior Member
Nov 4, 2020
140
225

Hassan Mambosasa

Verified Member
Aug 2, 2014
2,597
2,000
Hiyo TEST MODE maana yake ni kwamba Windows ipo kwenye Test Signing Mode yaani umeDisable Driver Signature Check.

Kuitoa hiyo , fungua CMD kama Administrator halafu weka command hizi mbili.
Command ya kwanza

bcdedit /set loadoptions ENABLE_INTEGRITY_CHECKS

Halafu Bonyeza ENTER (hapo inatakiwa iwe successfully)

Halafu weka command ya pili

bcdedit /set testsigning OFF

Halafu Bonyeza ENTER (Inatakiwa iwe successfully)

Restart computer. Imeisha hiyo

Kuhusu Drivers

Ingia website ya Dell zipo drivers zote kule kwa kila model ya computer ya Dell
Thread closed umemaliza kila kitu
 
Mwaikibaki

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
2,045
2,000
Mimi sio mtaalamu ila nafikiri drivers za wireless zimemiss kwenye hyo window, hata ukiupdate huwezi pata.
So jaribu kuistall driverpack solution(hii ni software) watakusaidia kuistall missing drivers.

Option ingine aende kwa manufact website search drivers kwa kuweka systm details za pc yako hapo utapate genuine drivers free.
 
ashomile

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,199
2,000
Ukikoswa msaada nitafute nikupe driver husika hata km zimegoma zote sasa utafanikiwa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom