selestin john
Member
- Jan 20, 2012
- 67
- 8
Please wakuu,naombeni msaada mwanzoni nilikuwa natumia internet kwa modem ya vodafone lakini baada ya kushusha window tuu nikii-connect inaleta message "welcome to found new hardware wizard" na inaonyesha kwamba inahitaji driver, lakini nimejaribu karibu cd kama 3 hv za drivers na imegoma kufanya installation,dizain kama nimedata maana mpaka nimeshusha window kama mara 4 lakini bado,msaada tafadhali nimekwama