Msaada: Kozi ipi ya kusoma kwa mchepuo wa PCB?

Msaada: Kozi ipi ya kusoma kwa mchepuo wa PCB?

iyo BLS ya sua ,inahusu masuaala ya maabara hasa kwenye wanyama maana wapo idara wapo chini ya idara ya udaktari wa wanyama pale sua.ila sikushauri sana hii kozi maana nina jamaa zangu nilisoma nao pale sua mpaka leo wanasumbuka kazi ,toka 2012
 
Back
Top Bottom