Msaada: Kosa Dogo linamchafua FB now

nilikuwa najiuliza hili swali wa kichwa changu......
ili iweje?
hizi nyingine tunapiga ili tushee na wengine, sasa hizo za sirini watu wanapiga ili iweje? ukweli sielewi
Moja kwa moja wako kibiashara,bangi,makundi,au upungufu wa akili
 
Nadhan ni vema huyoo jamaaa akazirush zote fb coz bint alifanya hzo picha za nn kama kweli ni mtu w maaadili?
 
Jamani mi nishaduscuss sana hicho mnachosema mwenyewe na nimemuuliza imekuwaje akasema he was just do it for funny,ila kikubwa ndo ishakuwa tatizo na ni funzo pia.Ila pia ndo ishakuwa hivyo,tunamsadiaje!
Aache tu zitoke halafu aseme sio zake ni graphics kwani wangapi wanaujua uchi wake? Na hao si washaelewa sio ishu simu ilipotea yeye ale jiwe tu aachane nae kabisa akimaliza ku upload ataenda kulala zake
 
Why msimripoti polisi, ili afuatiliwe
 
ntajie jina la hiyo account nitumie uwezo wangu mkubwa wa ushawish afute account tabia mbaya hii kanikera kweli huyo mwanaume
naona ishu si kufuta account pekee, ni pamoja na kuipata hiyo simu, cause anaweza akaendelea kuzipost hizo pics sehemu nyingine
 
pics za aina hii wapo watu wanajipiga, wanapigana wakijielewa na kwa kukubali, sijui ili wajione wanatokelezeaje maybe akijifananisha yeye na J.lo or, but wengine wanapigwa bila kujielewa, na my BF wao, wengine wanapigwa wakiwa wamelewa or wameleweshwa, huko FB na social network nyingine hawa wanaorusha pics za aina hii naona wafuatiliwe na wachukuliwe hatua kali, na hawa wanaorusha such pics kwenye magazeti yao hapa kwetu, naona yawe yanafungiwa moja kwa moja pamoja na faini kubwa n.k, ile tabia hiyo ife kabisa hapa kwetu
 
nilikuwa najiuliza hili swali wa kichwa changu......
ili iweje?
hizi nyingine tunapiga ili tushee na wengine, sasa hizo za sirini watu wanapiga ili iweje? ukweli sielewi

sikutaka kuchangia uliloandika lakini sina budi nimejikuta nafanya hivi ,kwa kifupi nilipata bahati ya kumtembelea rafiki yangu wa miaka mingi pale masaki , akanikaribisha akiwa pamoja na mmoja kati ya wanawake zake ,lakini mara tu yakuondoka zake yule mwanamke nikamwambia Mungu amemumba kwa umbile zuri huyu mpenzi wako na nikaendelea kwa kumfanyia matani kama kawaida yetu, nikasema uzuri wa nyumba uingie ndani ,na hapo ndio akanambia sikia kuna wazuri zaidi ya huyu uliye muona akanitolea laptop yake hapo nilioneshwa wanawake aliokushanya picha zao na maumbile yao yakike jinsi walivyo umbwa na walivyo pishana, nikamuliza kwanini unafanya hivyo akanijibu unakumbuka siku zile tupo shule tulikuwa tunakushanya stamps na mimi hii ndio hobbie yangu kwa sasa.
 
Ndo mkome kupiga picha kutumia maboyfriend zenu halafu hamzifuti. Sielewi unapiga uchi ili iweje, na video juu
 
Hivi watu hawajifunzi?, we saw what happened kwa wale wanafunzi wa sauti lakini people still wanapiga hizo naked pics,haya bhana let her avune alichopanda!:disapointed:
 

Dah itabidi nikukaribishe dinner kesho.Usichezee mapenzi likizidi hata unakumbuka km kuna kuachana unatuma tu mapicha.welldone
 

Hahahaaaah kweli huku kwa kutolea stress zetu
 
hivi mtu unajipiga picha za uchi ili iweje lakiniiii?? ujana kweli maji ya moto...

nilikuwa najiuliza hili swali wa kichwa changu......
ili iweje?
hizi nyingine tunapiga ili tushee na wengine, sasa hizo za sirini watu wanapiga ili iweje? ukweli sielewi

Wanafunzi wanapata mimba sababu ya viherehere vyao. Source: Dr.(yakupewa) J M Kikwete, President, URT.

Tatizo hapa ni kiherehere..... mchangieni laki tatu wajameni.
 
Ni kweli nimemwuliza anadai hizo Video alipigwa Na mchizi wake wakati waki-do,Na ndo jamaa ame target hapo!

Kwa hiyo anataka arudishe gharama za pesa alizomhonga? Mijitu mingine basi tu!
Mimi nashauri awasiliane na whusika wa facebook awaekeze ishu yote ili at least wablock hiyo akaunti. Awaambie kuwa ni ya mhalifu filani anayetumia picha zake na jina lake bila idhini na kumdai amlipe
 
Nasema kwa sauti kubwa, dada zetu wa kisasa ni wapumbavu zaidi ya Mh pinda, uliye na hizo picha nitumie na mimi nikusaidie kuzisambaza, ulipiga uchi uko iweje? ZISAMBAZE TU
 

Watu huwa wanajitafutia matatizo wenyewe. Shobo za kikuda ndio zinazowaponza, kila kitu unachofanya utaka uweke kwenye mitandao ya kijamii. Ndo dawa yao! Kama hiyo laki 3 anayo atoe kama hana basi atulize mshono.
 
Wanafunzi wanapata mimba sababu ya viherehere vyao. Source: Dr.(yakupewa) J M Kikwete, President, URT.

Tatizo hapa ni kiherehere..... mchangieni laki tatu wajameni.
kweli kabisa hiki ni kiherehere
 
hivi mtu unajipiga picha za uchi ili iweje lakiniiii?? ujana kweli maji ya moto...

nilikua na wazo km lako mkuu, acha ziwe uploaded tu ili walimwengu wengine wajifunze kupitia kwake, km mtu una akili timamu huwezi kujipiga picha za utupu ata siku moja unless uwe teyari ni mwendawazimu, kwasababu faida yake ni nini sasa? km ulikua hutaki zionekane ulipiga za nini? acha aaibike wengine wajifunze.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…