Msaada, kiswahili kwenda kiingereza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada, kiswahili kwenda kiingereza

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Seniour, Mar 19, 2010.

 1. S

  Seniour New Member

  #1
  Mar 19, 2010
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nawasalimu wana JF. Mwanajamii nimetatizwa na hili lifuatalo: Naomba wana JF wanisaidie jinsi ya kumuuliza kwa kiingereza Baba yangu Mzazi kuwa mimi ni mtoto wa ngapi kuzaliwa kwake au kwenye familia yetu! Lakini kwa Kimombo.

  Mfano: Unaita Baba, anaitika Naam. Swali Linaanza Hivi. Baba, mimi ni mtoto wangapi kuzaliwa kwako?
   
 2. Mvina

  Mvina JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2010
  Joined: Aug 2, 2009
  Messages: 1,000
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hata si ungebisha hodi mkuu?
   
 3. Injinia

  Injinia JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kuna thread kama hii hii ilianzishwa miezi kama 2 iliyopita, search kwenye forum ya lugha
   
 4. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  msaidie kaka! si unaona tena just a single post! labda kajiunga humu kuuliza hiyo tu!
   
 5. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Kweli kuku mgeni hakosi kamba mguuni
   
 6. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2010
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,437
  Likes Received: 2,352
  Trophy Points: 280

  Daddy... what is my rank in the birth order of our family?
   
 7. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hey dingi mamboz?how many senior me?
   
 8. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  whatz up dingi?how many kids do you have and which number I am among them?temme dady?
  kithungu halisi...yeah son..you are my 20th son in your family and am adding 20 again..
   
Loading...