Msaada: Kisimbusi changu cha Azam baadhi ya chanel hazioneshi

Areus

JF-Expert Member
Jul 27, 2016
324
403
Natanguliza shukrani za dhati km nitasaidiwa tatizo hilo hapo juu.

Tatizo hili limeanza juzi baada ya wenywe Kutangazwa kuwa Kuna mabadiliko ya Satellite ,pamoja na maelekezo waliyotoa ya kuweka chanel namba 100 ili iji install yenyewe nimeweka lakin bado hamna mafanikio, lkn pia na maelekezo mengine ya kufanya installation ya chanel hamna mafanikio pia.Nimewatafuta KWA namba zao huduma kwa wateja namabq hazipaitkani pia

Naomba Msaada, najua kuna wataalumu humu lkn pia siku mbili hiz huenda kuna baadhi wameexperience tatizo hilo

Ahsanteni
 
Hawa jamaa ni pasua kichwa sana wanafanya mambo bila kijipanga, baada ya hayo maboresho wanayodai ila mimi naona kama ni uharibifu tu kwasababu baada ya hiyo kitu baadhi ya channel hazioneshi kabisa, zinazoonesha zinascratch sana na mbaya zaidi kuna channels wamezitoa kabisa na nishafanya process zote wanazo zitangaza
 
Back
Top Bottom