Mkuu, ebu soma tena uzi wa mleta mada ndipo uje ukomenti upya.Chunguza kwanza uliyenaye karibu..huenda ndo anakupiga mkuu!ni zaidi ya ujuavyo
Sidhani kama ni mtu wa karibu maana amesema watu was mtandao wenyewe wamekiri kuwa inafanyika na wafanyakazi wasio waaminifu. Nimetamani tu kuujua huo mtandao.Chunguza kwanza uliyenaye karibu..huenda ndo anakupiga mkuu!ni zaidi ya ujuavyo
Sidhani kama ni mtu wa karibu maana amesema watu was mtandao wenyewe wamekiri kuwa inafanyika na wafanyakazi wasio waaminifu. Nimetamani tu kuujua huo mtandao
Sent using Jamii Forums mobile app
Tigo sihami ,pale shekilango hawana hamu na mm ,,aisee niliwasha moto wa kutosha ,,Ungewataja kabisa kwa majina hayo Makampuni, Mimi hadi Leo Tigo wananielewa vizuri tu. Tulipekana mwaka mzima hapo TCRA
Mama hebu usiwe mbishi elewa alichosema mleta muda. Hili janga hata mimi limeshanikuta kwenye tigopesa na wakanirudishia.Wifi...amesema anajikuta asbh inakombwa yote..hakuna wizi wa hvyo bwana mtandaoni...! 😷😷
Mmmh Wifi nawe mbishi aisee wakati amesema wazi kuwa akipiga mtandaoni wanamuomba radhi na kumrudishia? Wanaweza kurudisha pesa ambayo hawajachukua wao?W
Wifi...amesema anajikuta asbh inakombwa yote..hakuna wizi wa hvyo bwana mtandaoni...! [emoji40][emoji40]
Hlf..Ungewataja kabisa kwa majina hayo Makampuni, Mimi hadi Leo Tigo wananielewa vizuri tu. Tulipekana mwaka mzima hapo TCRA
mama hebu usiwe mbishi elewa alichosema mleta mda.
Hili janga hata mimi limeshanikuta kwenye tigopesa na wakanirudishia
Mmmh Wifi nawe mbishi aisee wakati amesema wazi kuwa akipiga mtandaoni wanamuomba radhi na kumrudishia? Wanaweza kurudisha pesa ambayo hawajachukua wao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikashinda kesi japo kimagumashi hivyo hivuo, I am convinced watu wa TCRA sana Yale "mahusiano mema" na makampuni ya simu hivyo kwa mtu wa kawaaida kushinda kesi ukapata stahiki zako ni ngumu sana. Niliweka evidence zote but nikipata ushindi kiduchu sana.Hlf..
Unaweza kuja inbox ili unipe uzoefu Nami Niuwashe huo moto?Tigo sihami ,pale shekilango hawana hamu na mm ,,aisee niliwasha moto wa kutosha ,,
Halfu pia kuna no yangu hiyo ya tgo walikuwa wanaitaka kinguvu sijui kuna tajiri gani alitangaza dau
Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
Unaweza kuja inbox ili unipe uzoefu Nami Niuwashe huo moto?Ungewataja kabisa kwa majina hayo Makampuni, Mimi hadi Leo Tigo wananielewa vizuri tu. Tulipekana mwaka mzima hapo TCRA