Nami nilikuwa naamini hivyo. Lakini kilichonishangaza ni ile hukumu ya Court of Appeal kwenye kesi ya uchaguzi Arusha kuwa wapiga kura ambao sio wagombea hawana haki ya kupinga matokeo ya uchaguzi mahakamani lakini court of appeal tena ikakataa maamuzi kama hayo kwenye kesi ya Wassira na Bulaya na kuamuru kesi isikilizwe upya kwani wapiga kura wana haki ya kufungua kesi.