Habarini wakuu nina simu yangu Samsung S5 nilinunua November 2016 juzi ilidondoka kioo kikavuja kikawa hakionyeshi ila touch inafanya kazi nikipigiwa napokea fresh ila kioo ni giza mwenye Idea pls ya bei ya kioo au niiuze kama bei kubwa ya kioo
inategemea na bei ulionunulia, kama ni hizi za laki 2 au 3 achana nayo uza tu motherboard ukatafute simu nyengine. maana kioo cha s5 kinaanzia laki 2 kupanda

Yangu inafanya kazi but imepasuka kwa juu karibu na kamera ya mbele
Nimepita madukani Naambiwa laki 2.8 eti huwa inauzwa complete jumla na nini sijui hata sikukumbuka kuuliza tena baada ya hapo!