Msaada: King'amuzi hakionyeshi channel za bure

texaz mc

JF-Expert Member
Jan 15, 2016
371
203
Habari wana JF,

Ni mda sasa toka mamlaka husika ya TCRA kutoa agizo kwa baadhi ya makampuni kuonesha baadhi ya channel bila malipo.

Mimi natumia king'amuzi cha STARTIMES lakini pasipo kukilipia channel inayokuwa hewani ni TBC 1 tu.

Nilituma taarifa TCRA kwa njia ya email (dg@tcra.go.tz) toka mwezi wa kwanza mwaka huu lakini sijapata hata jibu lolote kutoka kwao.

Naomba mnipe njia nyingine ya kuwasilisha taarifa au ufumbuzi wa tatizo hili.
 
TCRA kazi yao ni kupiga faini TV zinazoonyesha watu wakikimbia na masanduku ya kura, hilo haliwahusu, ukizingatia kwamba limeshasemwa sana na hakuna hatua zozote wanazowachukulia wanaofanya hivyo. Lipia tu mkuu, au ishia kuangalia TBC.
 
TCRA KUHUSU KUTUTETEA WANANCHI KWENYE VING,AMUZI HILO SAHAU NAFIKIRI NI MBINU MBADALA ILI TBC IPATE WATAZAMAJI WENGI.
TCRA IPO FASTA KWELI KUPIGA FAINI VITUO VINAVYORUSHA MAUDHUI YASIOIFURAHISHA SEREKALI ILA SIO KUTUTETEA WANANCHI.
 
Habari wana JF,

Ni mda sasa toka mamlaka husika ya TCRA kutoa agizo kwa baadhi ya makampuni kuonesha baadhi ya channel bila malipo.

Mimi natumia king'amuzi cha STARTIMES lakini pasipo kukilipia channel inayokuwa hewani ni TBC 1 tu.

Nilituma taarifa TCRA kwa njia ya email (dg@tcra.go.tz) toka mwezi wa kwanza mwaka huu lakini sijapata hata jibu lolote kutoka kwao.

Naomba mnipe njia nyingine ya kuwasilisha taarifa au ufumbuzi wa tatizo hili.
Huu uzi au maswali yako ungeyaandika kwenye Special Thread yao hapo juu ingekuwa nzuri badala ya kuiandika kama inayojitegemea. Andika huko watakujibu haraka
 
Habari wana JF,

Ni mda sasa toka mamlaka husika ya TCRA kutoa agizo kwa baadhi ya makampuni kuonesha baadhi ya channel bila malipo.

Mimi natumia king'amuzi cha STARTIMES lakini pasipo kukilipia channel inayokuwa hewani ni TBC 1 tu.

Nilituma taarifa TCRA kwa njia ya email (dg@tcra.go.tz) toka mwezi wa kwanza mwaka huu lakini sijapata hata jibu lolote kutoka kwao.

Naomba mnipe njia nyingine ya kuwasilisha taarifa au ufumbuzi wa tatizo hili.
Ungesoma ripoti ya CAG ungejua unaowasema ni nani, ni wenzetu. Chaneli za bure kalipie shs. 24,000/00 utazipata bure! Labda TCRA wanapokea maelekezo toka juu ndiyo maana hawakukujibu.
 
Continental unapata tbc, startv, channel 10, efm na EAT bureeee bila ya salio. Hizo ndizo channels za bure continental.
 
Habari wana JF,

Ni mda sasa toka mamlaka husika ya TCRA kutoa agizo kwa baadhi ya makampuni kuonesha baadhi ya channel bila malipo.

Mimi natumia king'amuzi cha STARTIMES lakini pasipo kukilipia channel inayokuwa hewani ni TBC 1 tu.

Nilituma taarifa TCRA kwa njia ya email (dg@tcra.go.tz) toka mwezi wa kwanza mwaka huu lakini sijapata hata jibu lolote kutoka kwao.

Naomba mnipe njia nyingine ya kuwasilisha taarifa au ufumbuzi wa tatizo hili.
Nenda kakiupdate utalipa gharama zaidi ndiyo kitaonyesha channel za bure
 
Back
Top Bottom