Msaada King'amuzi cha Continental

fakalava

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2015
Posts
4,459
Reaction score
6,033
Wakuu, wasalaamu!
King'amuzi changu kinachotumia antenna na pekee DVB -TT2 kimegoma kuonyesha channels hata nikisearch sipati channel hata moja.
Hii imetokea baada ya kufanya factory reset, sasa sijuhi ni kwa sababu ya kureset au nimekosea frequency.

Msaada wadau.
 
...Kama ulifanya factory defaulty wakati signal zako yaani Intensity na Quality zipo chini ni lazima upoteze channel zote, kama ni hivyo muite Installer wako akurekebishie dish lako ili urudi kwenye huduma kama kawa!
 
Siyo dish Mkuu, ni antenna.
 
Upo mkoa gani? sina uhakika kama frequency wanazotumia ni sawa kwa mikoa yote, kama unaweza kuingiza manually frequency ingiza hizi;
DVB-T2
frequency 698 Mhz
Bandwidth 8Mhz
 
Upo mkoa gani? sina uhakika kama frequency wanazotumia ni sawa kwa mikoa yote, kama unaweza kuingiza manually frequency ingiza hizi;
DVB-T2
frequency 698 Mhz
Bandwidth 8Mhz
Niko Dar Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…