Msaada kina dada...

Msaada kina dada...

Hahaha, aisee mimi nikipata nafasi ya kuchoma na sheria isinichukulie hatua nachoma.

Tatizo mie nina ugonjwa wa kuumia zaidi nikimfanyia mtu ubaya(hata kama yeye ndio alianza kunifanyia ubaya) so pona ya moyo wangu ni kuwapotezea wanaoniumiza
 
Pole sana, najua kwangu pia haiwezi kutokea hiyo level.

Lakini point yangu ni kwamba siwezi kumwombea mazuri mtu ambaye kaniacha.

Ila kitu muhimu ni kuishi maisha mapya bila kufatilia mwenzio anaendeleaje, maana hutaweza kusonga mbele.
 
Adui muombee njaa,hili naelewa
 
Yani niwe na wivu na
Mume wangu mpaka nimchukie..!!🤔 Nitakuwa na wazimu si bure.
 
Back
Top Bottom