Msaada: Kilipo kiwanda cha nywele cha angels

Msaada: Kilipo kiwanda cha nywele cha angels

Yaani kuhangaika kote huko mtu anatafuta nywele bandia.mkikaa na nywele za asili mtakufaa? Kazi kujishebedua tu looooooo!
Huyu ni mfanyabiashara anatafuta kutengeneza pesa bwana,wasiposuka tutapataje.pesa
 
Back
Top Bottom