CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 946
msaada please nataka kurudi kijijini kulima.
Ahsante mkuu kwa msaada wako.aise ruvu pako pouwa na mahali moja panaitwa mangola
Ngoja kuna mshikaji anaishi maeneo ya mlandizi,ngoja nimtafute pengine anaweza kuwa na msaada kwako.Ahsante mkuu kwa msaada wako.
Jee una connection huko?
I mean mawasiliano?wenyeji?ili nifanye utaratibu wa kuvamia hiko kwa uchunguzi.Na bei zao kwa heka kukodi/kununua ni bei gani?
Ahsante mkuu kwa msaada wako.
Jee una connection huko?
I mean mawasiliano?wenyeji?ili nifanye utaratibu wa kuvamia hiko kwa uchunguzi.Na bei zao kwa heka kukodi/kununua ni bei gani?