Msaada kilimo cha hoho

Hekari 2 za hoho ni nyingi. Unaongelea miche zaidi ya elf 20.

Ushauri wangu, panda miche kwa batch ya miche 3000 kila wiki.

Swala la mbegu nakushauri tumia mbegu ambazo sio hybrid zinazaa vizuri kama ukizitunza vizuri. Mbegu za kawaida znazaa matunda mengi tofaut na hybrid matunda makubwa ila machache. Matunda ya mbegu za asili yanapendelewa sana sokoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushafanya utafiti wa soko?

Naungana na mdau hapo juu. Tumia mbegu izaayo hoho za ukubwa wa wastani. Mahoho yale makuubwa wengi hatuyapendi.
 
Hekari 2 za hoho ni nyingi. Unaongelea miche zaidi ya elf 20.

Ushauri wangu, panda miche kwa batch ya miche 3000 kila wiki.

Swala la mbegu nakushauri tumia mbegu ambazo sio hybrid zinazaa vizuri kama ukizitunza vizuri. Mbegu za kawaida znazaa matunda mengi tofaut na hybrid matunda makubwa ila machache. Matunda ya mbegu za asili yanapendelewa sana sokoni

Sent using Jamii Forums mobile app
Ubarikiwe ndugu,hivyo nianze na ekari moja,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom