Siku mbili tu inaanzaEbu fanya jaribio hili kama mke wako akipona siku ya kukutana kimwili tumia kinga kwa umakini kabisa (siku 3) alafu uone je bado hilo tatizo analipata kama litatokea bas yeye ndo atakuwa anatatizo kama halitatokea wewe ndo unamatatizo [ila ningependa kujibiwa ili swali akipona huwa mkikutana mara ngap anaanza Kuona izo dalili?]
Kumuambukiza mwenzangu sikatai, inaweza kuwa sawa. Ninachotaka kujua hayo maambukizi yangu mimi (ugonjwa) yapo ndani? Maana nje kwwnye ngozi sina dalili zozote za fangasi. Na kama maambukizi yapo ndani tiba yake nini?Wewe ndio una muambukiza mwenzako na wewe meza dawa maana ka anajitibu na kupona then alikutana it seems unamuambukiza, pia mwambie awe ana vaa chupi za cotton, na awe anazianika juani na kuzipas kuua bacteria, pia chupi alizokuwa anatumia akiwa anaumwa azitupe au azifue kwa kuloweka na maji Dettol.
Poa gynozol ni kiboko ya hyo kitu pia na wewe jitibu kwanza loh
Huwa unazama chumvini kwa shemeji yetu?Habari wanajamvi?
Mke wangu amekuwa anasumbuliwa sana na kuwashwa sehem zake za siri, na kuna kipindi ilifikia akawa anatoa uchafu mweupe una harufu mbaya. Baada ya kufatilia ikaonekana ni fangasi...
Mkeo alipokua anatumia dawa za fungus nawe ulipaswa kuambatana nae upimwe U.T.I etc upewe na dawa husika kwaajili ya kumlinda mwenza wako.Sijawahi hata siku moja mkuu.
Kuna fangas za via vya uzazi na sio ngoziKumuambukiza mwenzangu sikatai, inaweza kuwa sawa. Ninachotaka kujua hayo maambukizi yangu mimi (ugonjwa) yapo ndani? Maana nje kwwnye ngozi sina dalili zozote za fangasi. Na kama maambukizi yapo ndani tiba yake nini?
Akijitibu then akavaa chupi ambazo hazijafuliwa na detto na kupasiwa work done inakuwa equals to zeroapas chup mbona zitatanuka sana Bora aache kuvaa chup sasa
Habari wanajamvi?
Mke wangu amekuwa anasumbuliwa sana na kuwashwa sehem zake za siri, na kuna kipindi ilifikia akawa anatoa uchafu mweupe una harufu mbaya. Baada ya kufatilia ikaonekana ni fangasi...
Mkuu huoni kama unahitaji kumuona daktari?? Maana hospital ndio watakwambia wanatakiwa wakupime nini na nini ili kuona watakutibu vipi ikiwa tatizo litaonekana!Hapa sasa nakuelewa. Vipimo vinafanyika vipi mkuu?