Msaada kifua kisichopona

Msaada kifua kisichopona

Nimekuwa nikisumbuliwa na kifua na mafua yasiyopona, naombeni msaada mwenye kufahamu dawa au wapi ntapata tiba, Asanteni.
Unapotafuta Huduma za Ushauri wa Afya mitandaoni.

Zingatia kuelezea
Umri wako, Jinsia yako , Eneo unaloishi( Wilaya au MKOA) , Aina ya Kazi .

Kisha elezea tatizo lako Kwa upana, Kifua kinasumbua, kinasumbuaje ? Kina muda gan? kikohozi? Shida za kupumua, ? Kubanwa Kwa kifua? Homa ? Kichwa? Jasho la usiku ? Uzito ? Hamu ya kula, Miguu kuvimbaa?Moyo kukimbia n.k !!.
 
Asante mkuu, jinsia yangu ni KE, Eneo ninaloishi ni Dar, kazi zinazohusisha kuwa karibu na vumbi kiasi.

Yaani hiki kifua iko hivi asubuhi nikiamka koo linakuwa linakwaruza nikikohoa natema makohozi, muda mwingine inaweza kwenda hiyo hali hadi mchana, sijui kama ntakuwa nimeelezea vizuri
 
pole sana unaweza kuwa na allergy. lakini nina hakika una upungufu pia wa vitamin C. nilikua na shida kama yako kuumwa mafua kila mwezi na kukohoa. nilipobadili mfumo wa maisha imebaki kuwa hadithi. lakini vema ufike hospitali na ukiweza omba kuonana na daktari wa magonjwa ya mfumo wa hewa (ENT)
 
Asante mkuu nitafanya hivyo
 
Nimekuwa nikisumbuliwa na kifua na mafua yasiyopona, naombeni msaada mwenye kufahamu dawa au wapi ntapata tiba, Asanteni.
Tiba na dawa mi hospitalini baada ya kufanya diagnosis na kujua sababu ni nini. Hapa utashauriwa dawa ambazo zinaweza kukuletea matatizo zaidi. Pia ugonjwa wako unaweza kuwa ni symptoms za jambo kubwa la kiafya kwako, na ukiendelea kuchelewa tatizo litakuwa kubwa.
 
Back
Top Bottom