😂😂😂Waje Haraka Sana Mleta Anataka Kujua Wang Yi Alisahau Sehemu Hii Kitu
Google Photos with Google Lens ambazo tayari zipo kwenye simu nyingi za Android inaweza ku translate text kwenye hzo picha. Hauihitaji kudownload translatorDownload google translator kisha pata tafsiri ya hicho kijarida kwa kiingereza itakupa mwanga wa kujua ni kifaa gani.
Ila ni kama scanner au detector flani, ukimulika kitu kuna aina ya mwanga inatokea kuonyesha taarifa za hicho wanacholenga kupata.
Hiyo ni kulingana na picha ya huyo jamaa kwenye karatasi.
Uzi ufungwe hapo umemalizaInaonekna ni kifaa cha kuidentify kma liquor (kilevi) kutoka company ya MAOTAI ni original na sio feki.View attachment 1673797
Google Photos with Google Lens ambazo tayari zipo kwenye simu nyingi za Android inaweza ku translate text kwenye hzo picha. Hauihitaji kudownload translatorView attachment 1673811
Asante,nitajaribuDownload google translator kisha pata tafsiri ya hicho kijarida kwa kiingereza itakupa mwanga wa kujua ni kifaa gani.
Ila ni kama scanner au detector flani, ukimulika kitu kuna aina ya mwanga inatokea kuonyesha taarifa za hicho wanacholenga kupata.
Hiyo ni kulingana na picha ya huyo jamaa kwenye karatasi.
ni kifaa cha kupimia pombe ya Moutai(aina ya pombe ambayo ni maarufu sana nchini China) ili kuikagua kama ni pombe halisi au bandia.Asante,nitajaribu
Asante,itakuwa hivyo maana hata kwenye hicho kifaa wameandika MAOTAIInaonekna ni kifaa cha kuidentify kma liquor (kilevi) kutoka company ya MAOTAI ni original na sio feki.View attachment 1673797
angalia kifuniko hiki kwenye nuru ya kifaa hicho, kama ni pombe ya kweli itatoa nuru ya manjano, ama sivyo haitatoa nuru.Asante,nitajaribu
maotai ni matamshi yake ya Kichina. Kwa kiingereza pombe hii huitwa MOUTAIAsante,itakuwa hivyo maana hata kwenye hicho kifaa wameandika MAOTAI
Asante mkuu,itakuwa ni detector ya hio pombe wanaita MAOTAI na inaonekana ni pombe ya gharama kidogoWhen N0 8M t is in the forward light direction, the picture and text are bright pearly enhanced colors when observed with the naked eye. When observed with the naked eye, the color of the picture and text becomes lighter. The top appearance is a matt red off type, and there is a matt red back gold in the center of the figure. Method 2: Use the set device to do it. In the LUMO department, the current line passes the anti-counterfeiting identifier, press the switch, and observe the side of the cap. a The MOUTA graphic is clear. View the rainbow-shaped AI "text. The background recognition is easy to pass the anti-counterfeiting recognition ship, and press the TE. Observing through the special recognizer, you will see the original graphics and colors disappear. Observing through the special recognizer, the top of the cap is visible Yellow, with black dots on it, which can drift within the background of だ’s fast たfe color. Shan Yu ah reconciles
Hayo maelezo nimejaribu kupata translation kutoka scanning ya hiyo karatasi uliyoambatanisha.
Ni kama cha kugundulia vitu flani ikiwa ni feki au sio.