omary khamis
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 402
- 77
Habar wanajf naomba kueleweshwa namna nzur ya kupata references pindi unapoandaa assignment .. Ahsanten
Mkuu na vp kwa upande wa mtandaoni siwez kupata? Na kama naweza kupata napata vp?Kuna kitu kinaitwa course outline lazima uwe nayo aidha ununue au wengine malecturer wanagawa bure kulingana na idadi.
Kila moduke ina reference zake.kama sivyo basi kitabu chochote kinachohusiana na kozi yako kilichopo library ya chuo basi kinafaa kwa reference japo ni vema kuangalia zaidi zile zilizo kwenye course outline.
Unaweza kuingia google play store kuna baadhi vipo huko.Ila vingine hamna.sehemu ya boos kuna vitabu vingi sana kule.vya masomo ya darasan na.ya duniaMkuu na vp kwa upande wa mtandaoni siwez kupata? Na kama naweza kupata napata vp?
Au unaweza kuingia kwenye internet na ukaandika title ya kitabu afu ukamalizia ukamalizia na pdf. Mfano basic economic theory in pdf.vinakuja kwenye mfumo wa pdf.ila ni vema kujua title ya kitabu unachotaka maana vingine vinakuwa too general kuliko zile mada ulizotaka kuchukua reference.Mkuu na vp kwa upande wa mtandaoni siwez kupata? Na kama naweza kupata napata vp?
Shukran mkuuAu unaweza kuingia kwenye internet na ukaandika title ya kitabu afu ukamalizia ukamalizia na pdf. Mfano basic economic theory in pdf.vinakuja kwenye mfumo wa pdf.ila ni vema kujua title ya kitabu unachotaka maana vingine vinakuwa too general kuliko zile mada ulizotaka kuchukua reference.
Yaa pamoja saba mkuu.Shukran mkuu