Yaani!!!Daah! Nimeshindwa kuusoma huu mwandiko!
Yaani!!!Daah! Nimeshindwa kuusoma huu mwandiko!
NILIKUWA NA TYPE keyboard wakati natembea . Ntajarbu nikiwa kuw na type nimetulia. Nazan ya pili imeeleweka?Una vya kueleza vizuri Ila mwandiko wako au maandishi yako Kama umesoma memkwa.
Daktar huyoDaah! Nimeshindwa kuusoma huu mwandiko!
kwa mm ninavyooon inawezeikawa cephalohematoma google hilo neno pcha zake alafu compare na mtotoalivyoNatumai wazima wadau... naomba msaada wa mawazo kichwa cha mwanangu wa miezi 6 kimekaa vibaya kama hapo kwenye picha... wapi naweza kupata msaada wa kuweka sawa au nini nifanye...
View attachment 2356828
Dokta huyo wewe unataka uuelewe muandiko wa dokt?Daah! Nimeshindwa kuusoma huu mwandiko!
Sawa,pole kwa usumbufumimi ni dume sio jike
Dah na Mimi ninae wa hivi kila siku huwa namtizama Sina la kufanya...Natumai wazima wadau... naomba msaada wa mawazo kichwa cha mwanangu wa miezi 6 kimekaa vibaya kama hapo kwenye picha... wapi naweza kupata msaada wa kuweka sawa au nini nifanye...
View attachment 2356828
Kwahiyo hakuna namna ya kurekebisha?saba za kichwa hivyo uenda kipnd cha kujifungua uchu ulichelew ukapat tatizo la obstructed laboir ambapo mtoto anshindwa kutka mapema kwa sabb uchungu umechelew au umeisha sababu inay pelekea kichw cha mtot kubanwa ndan ya uke kitaalam ina itwa caput succecedenun.( nadhan kam sabab ni hii alivyo zaliw uligundua?? Channz)
sabab y pili ni mtot kipind anazaliw alizaliw hvyohvyo ambpo kitaalam waanasem alizalew n cphaloblatoma yaan maji yalijaa sehem y fuvu na kusababsha kichwa kuw hvyo.mara nying watoto wanazaliw hvyo iliikifik miak miwil wanapon mwili unarecover wenyew
Ikukatishi tamaaa ila. Haiwezekan mtoazaliw fuvu l kichwa lpo hvy kama sio sabab y 2 . Bas jarib kukumbuk kipind ch ujauzito clinic uliend na daw ukunyw vzr, ulijifungua kw njia gani? Uchungu ulichelew,kuchanikk sehem z siri au kutokw n damu nyngi wakati w kujifungua? Au ulipigw na kit tumbon wakat w ujauzito. Lazim kuw n shida mahali.
Au kun kitu kinaitw cerebral pulsy ambap mtoto anazaliw ambapo miguu au mikon inakakamaa au ialegea sana napo waga wanazaliw na vchwa vy namna hio( mfano kam ushaon mtoto aliezaliw na ulemavu wakushndw kutembea bila tatzo llte ukuji wak waga unachelew.
Kwa harkharak matibabu yke ni ushauri nasah kwa mama amkubal mtoto kama alvy ili mtot atengenz bond na mma iaymsaisia na ukuaji
Tukisema opareshn labd nchi z wengn ila mpk atakapo kua mkubw .ila nawezw kupgw xray,MRI au CT scan kuon kchw kinshd gn ?
Sema ch msng ingebdi kuhojiana san kipind cha ujaozit na lknd ch kujifungua ndio nawez kubain ttzo au chnz n nn?
Baada ya muda gani kinakaa vizuri?Kiache akina shida akikua kinakaa vzr chenyewe kuwa na amani hata mimi mtoto wangu wa kiume alizaliwa alikuwa hivyo hivyo ilq badae kichwa kilikaa vzr tuu chenyewe...
Bwana mtaalamu mie wangu hakuna sababu hata moja katika ulizotaja...Amezaliwa hvyohvyo. Sabab inawez kuwa??
1. Cerebral polsy: kwa kitalaam mtoto anazaliw na kichw kama hpo kwenye pcha lakin kweny mikono au miguu nayo inakuwa lelgelege hvi. Sjajua hyo mdogo wetu ni kichwa tu au miguuu na mikono ina changamoto
2. Caput succedenum: hapa kitaalamu mama wakati wa kujifungua uchungu ulichelewa ambapo ikasababisha tatzo linaitwa obstructed labour ambapo mtoto anachelew kutoka tumbon kwa mama hivyo kichwa kinabanw na uke pamoja na mishipa ya uzazi na kupelekea kchwa kuwa cha namna hio. Tatizo hili mtoto waga anapona mwenyew siku5 baada ya kuzaliwa
Hpa mama atakuwa na maelezo kama alipata ttzo la uchungu wakati anajifungua??
3. Cephaloblastoma,: ni tatizo ambalo kichwa cha mtoto hua kianavmba kwasababu kimejawa na damu iliyo vuja kutoka kwenye mishipa ya fuvu . Maana muda mwingine mishipa inapasuka na kumwaga damu sasa ile damu inafanya kuwe na uvimbe kichwani. Tatizo hli mtoto upona nda ya wiki 4 mpka sitabaada ya kuzaliwa
4. Subgaleal haemorrhage: hili ni tatiz kama la 3 ambpo na penyew mishipa ya kichwa ilivuja imesababsha kichwa kucimba. Ila hapa sanasana upande wa paji la uso
Tatzo 2.3.4 yote mtoto upona polepole anapokuwa haiitaji upasuajii.
Matibabu ni ushauri nasaha ilimzazi amlee mtoto wake ili mtoto apate kukua vzur mwili ujengeke vzuri kupamna na tatzo lake. Hakikisha ananyonya vzuri , haugui mara kwa mara . Jitaidia sana hasipate utapiamlo
Kibongobongo huwa inatengenezw kama ngata then mtoto kila akilala anakuwa analalalia hiyo ngata ambayo kichwa kinaingia katikati ya ule mviringo wa ngata.... over time kichwa kinakuwa sawa.Natumai wazima wadau. Naomba msaada wa mawazo kichwa cha mwanangu wa miezi 6 kimekaa vibaya kama hapo kwenye picha. Wapi naweza kupata msaada wa kuweka sawa au nini nifanye.
View attachment 2356828
Kua karibu na jembe ilo. Make sure ndoto zake zinatimia, muoneoano kitu gani. Kwa 4 years naona angebaki tu ivo ivo.Bwana mtaalamu mie wangu hakuna sababu hata moja katika ulizotaja...
Mzima wa afya Tena super genius na alizaliwa kwa upasuaji baada ya kuonekana amekaa lateral na sikuugua uchungu hata baada ya mimba kufikia term na kilichosababisha madaktari wanishari upasuaji ni baada ya miezi Tisa kupitia sisikii uchungu, mtoto amelala lateral, lakini pia featal hearts haikuwa ikisikika kwa takribani wiki nzima.
Baadae nikagundua kichwa chake Kiko namna hiyo na Hana shida nyingine yoyote ukiacha utundu uliopitiliza na ule super genius alonao.
Ila natamani kikae sawa wataalamu wananambia nimechelewa ilitakiwa soon walivyomtoa tumboni wangemfanyia massage ya kukanda kichwa fuvu likae sawa hivyo kwa SAA amekomaa tayari niwe mpole tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda kuchelewa kwa uchungu miba ilipofika miezi tisa pamoja na foetal heart rate (mapigo ya moyo ya mtoto) kutokusika kwa wiki nzimaBwana mtaalamu mie wangu hakuna sababu hata moja katika ulizotaja...
Mzima wa afya Tena super genius na alizaliwa kwa upasuaji baada ya kuonekana amekaa lateral na sikuugua uchungu hata baada ya mimba kufikia term na kilichosababisha madaktari wanishari upasuaji ni baada ya miezi Tisa kupitia sisikii uchungu, mtoto amelala lateral, lakini pia featal hearts haikuwa ikisikika kwa takribani wiki nzima.
Baadae nikagundua kichwa chake Kiko namna hiyo na Hana shida nyingine yoyote ukiacha utundu uliopitiliza na ule super genius alonao.
Ila natamani kikae sawa wataalamu wananambia nimechelewa ilitakiwa soon walivyomtoa tumboni wangemfanyia massage ya kukanda kichwa fuvu likae sawa hivyo kwa SAA amekomaa tayari niwe mpole tu.
Sent using Jamii Forums mobile app