Kuna hili lingoma sijui linaitwaje.......limenisuuza mbayaaa.....Mwenye kuliimba anaitwa Mr Flavor......ni remix....kalipiga Kayanda kwenye top 20 leo Clouds (kwa waliokuwa wanasikiliza)......Naomba anayeweza kuliweka hapa aniwekee tafadhali nizidi kusuuzika roho yangu......
Thanks
Acha aushamba wa kuja wewe!...Unatoka wapi aisee?...Hapa ndiyo mwisho wa akili zako?Mzee Samwel Sitta akisema vijana tunapenda FIESTA tunasema katutusi, haya huyu mwenzetu kweupeeeeeeeee anajidhihirisha. bro/sis nenda kazini huu sio muda wa mambo yakipuuzi utailetea baa la njaa bure familia yako huko mbeleni kwa kutokujiandaa sasa. ukitaka kujua hayo nenda Clubs kunamaDJ ambao wao wakilala wakiamka wanawaza mambo ya hivyo.......natoka kidogo
Mzee Samwel Sitta akisema vijana tunapenda FIESTA tunasema katutusi, haya huyu mwenzetu kweupeeeeeeeee anajidhihirisha. bro/sis nenda kazini huu sio muda wa mambo yakipuuzi utailetea baa la njaa bure familia yako huko mbeleni kwa kutokujiandaa sasa. ukitaka kujua hayo nenda Clubs kunamaDJ ambao wao wakilala wakiamka wanawaza mambo ya hivyo.......natoka kidogo
Acha aushamba wa kuja wewe!...Unatoka wapi aisee?...Hapa ndiyo mwisho wa akili zako?
Kwanza humjui!
Hujui anaposikiliza music huwa anafanya kazi gani!
Hujui mambo yake, mwanaume mwanamke, mwanafunzi,mkulima. mwanamuziki...hujui kitu unaropoka tu!
Unataka akafanye kazi gani!...Wewe unafanya kazi gani, si kazi yako unasoma thread za watu na kujibu crap?
Hopeless, Mbuzi -kavimba, billions of blue blistering banacles!
Acha urembo chalii-wangu, hili jukwaa la entertainment arifu eeh!
Join Date : 13th July 2011
Posts : 41
Rep Power : 0

Kila mtu ana burudani zake jamani,kama anapenda hivyo poa tu,wengine wanakesha Corner Bar etc etc.Mzee Samwel Sitta akisema vijana tunapenda FIESTA tunasema katutusi, haya huyu mwenzetu kweupeeeeeeeee anajidhihirisha. bro/sis nenda kazini huu sio muda wa mambo yakipuuzi utailetea baa la njaa bure familia yako huko mbeleni kwa kutokujiandaa sasa. ukitaka kujua hayo nenda Clubs kunamaDJ ambao wao wakilala wakiamka wanawaza mambo ya hivyo.......natoka kidogo
Kumbe unasikilizaga Clouds eeh? Safi sana..endelea hivyo hivyo.
Halafu yale malalamiko dhidi ya Kibonde vipi? Si ulisema TCRA yashapelekwa....kuna maendeleo yoyote?
he he he....sijawahi acha kusikiliza Clouds....na sitegemei kuacha....ni siku ile tu Kibonde aliniboa.....hii ndio TZ bana....usitegemee mrejesho wa kitu chochote kutoka serikalini......
Umeupenda mziki lakini?...
avatar ndiyo nini?Mi nimependa avatar yako.