msaada key za office 2010 starter

Ushauri wangu usiweke window 2010 itakusumbua sana nafikiri wakati wanaprogram walikosea kitu so uki install na ukitakata ku.unistall itakusumbua sana.nakushauri office 2007.its good. Sijui nitakupaje kwani net yangu ni ya bajeti.
 
Back
Top Bottom