KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 278
Na mimi ninehisi hilo
Sasa kama umehisi hivyo si umpe hiyo hela na umnunulie keki nzuri
[emoji121]Sasa kama umehisi hivyo si umpe hiyo hela na umnunulie keki nzuri
Mapema asbh/alfajiri mtakie heri ya siku ya kuzaliwa. Kwangu nikitumiwa ujumbe wa birthday via SMS huwa nafurahi zaid kuliko hata kupigiwa. Wengine hupenda kutoka/kutolewa out. Wengine had keki na vigeregere. Mpenzi wako yupo kundi lipi? Kama ni makundi mawili ya mwisho, ukimtekelezea kesho, jua miaka ijayo usipomtendea hayo atakuja na tafsiri kibao.