Msaada: Kazi zilizotoka za Wizara ya Afya maombi yanatumwaje?

sasa wewe kama una ndugu yako anafaa hiyo position huwezi mtumia hilo tangazo?
Bila shaka nitafanya hivyo ni nitampa connection ili apate hiyo kazi ndio maana nimpa ukweli kama hana connection anajichosha..
 
kinaendelea nini kwenye huu mchongo au ndio washachomoana wenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom