mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,364
- 21,442
Mkuu kazi za ubaharia zimekuwa ni changamoto kubwa sn,,Kwanza Ubaharia ni Kozi gani?
Nijuavyo mm kuna kozi kama za Marine Engineering hivi, Marine Transportation(Deck),Cardet nk. Sasa hii kozi unayoisema inanipa tabu kidogo.
Anyway Ukimpata Olekashe ama Katandula watakushauri vizuri.
Siamini kama umetafuta kazi vya kutosha, Tatizo lako unataka uanze na dola 2000 au 3000 ezIF unexperience. Umekomaa na Dar kwa nini usiende Mwanza/Kigoma au Kyela?
Af vitu vingine inashangaza mikazi imejaa Mtwara kwenye Gesi kule umekaaa Dar, we unadhani nani anayeweza kufanya kazi kule kama siyo mtu wa marine???
Ni PM nikupe maujuzi dogo
Kama huna moyo mgumu,,,unaweza kuishia njiani..
Mimi nilisoma mandatory miaka 10 iliyopita,,,,na vyeti vikaisha miaka mitano bila kupata kazi,,
Sababu ubaharia ni wito?
Nilifanya refresh,,, vyeti vyangu,, nikapata sea time miezi 6,,
Nikasoma rating,,,nikaingia melini,,kwa kununuwa kazi..
Tuwe wakweli mabaharia,,bila mchongo kupata kazi ni ngumu sn.