Kasome agriculture general kwa kuwa
1.Ni rahisi kujiajiri kwa maana ya kufanya shughuli za kilimo, kuanzisha duka la pembejeo za kilimo.
2.Ina uwanja mpana wa ajira kwa mfano serikalini, kwenye miradi ya kilimo kwenye NGOs local na za kimataifa, unaweza fanya kazi benki upande wa afisa mikopo ya kilimo.
Chaguo la pili kasome
Sikushauri kabisa ukasome
Kwa kuwa ina uwanja finyu wa kupata ajira na hata kujiajiri pia
Kwa kozi ya kwanza na ya pili while unasoma tafuta somewhere ujiattach pia kufanya vijikazi ili upate uzoefu, usitafute malipo bali tafuta uzoefu. Komaa kupata GPA nzuri as pia unaweza kuacha kabisaa kufanya kazi za ulichosomea instead ukafanya kazi kama za auditing, business consulting, data analytics provided una uwezo mzuri kwenye analysis, mathematics, communication skills n.k. Hapo namaanisha ukipata GPA kali kajaribu bahati yako pia kwenye big 4 auditing firms if unataka kubadilisha fani as wao huwa wanaangalia if unaweza kuwa trained very quick na ukafanya kazi zao. Kingine unaweza bakia as Tutorial Asistant pia hapo chuoni so komaa na GPA na kupata other soft skills.