Msaada katika hili, je ana mimba kweli?

Hana mimba huyo bali anakupima imani siku ikiwa kweli utafanyaje!!but upande wa pili mmba haiwez onekana after 2days na kama anayo basi hiyo mimba siyo yako
 
Uuuuuuuuuuuuiiiiiuuiif nn? Umeona? Duh! Sawa ushauri tu
Ukipenda michezo ya kikubwa bila kutumia kinga uwe tayari hata momba ya kubambikiwa!!!Ungekuwa karibu stick zingekuhusu ili somo likuingie
Siku mbili dalili hazijioneshi..Huyo ulimuweka vibaya so tumbo lazima limuume!!akae wk moja anunue UPTapime!!!
Next time viboko vinawahusu
 
Alikiba alikuwa Dodoma wiki iliyopita huenda alikuja kutafuta mtoto wa nne...

Subiri azaliwe maana tembo hazai sungura utajua tuu
 
Pole sirnare!
Amekujaribu, na umejaribika, kikubwa mwambie sawa, utahesabu wakati wa clinic na matarajio ya kuzaa, ondoa mawazo, hasa unapo kuwa na mtoto wa kike, gtm
 
baada ya siku mbili akajua ana mimba mmh hizo mbegu zako sio za nchi hii.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…