Nimekuelewa sanahuyo hana mimba na kama ana mimba basi sio yako anakuuzia kesi huyo. Yani mlale leo then kesho akwambie ana mimba sayansi ya wapi hiyo? Unless awe alishapata sa anatafuta mtu wa kumbambika ila kitanda hakizai haram boss we lea tu kama ipo kweli
Watu wengine mnakurupuka tuAsa kama kashashika mimba unataka free days za nn.Au ndo unakumbuka shuka wakati kumekucha inakubidi uamke kufuata majukum mengine.
Sawa tutafanya hivoooooHamna mimba inayojulikana cku mbili subirini wiki mbili muende kupima
Ni mara chache mtu akajua ana mimba ndani ya siku 2 na ikawa kweli.Vitu vingine havitakagi ujuaji!!!
Hivyo nikaamua kuomba ushauri kwa kweli sielewi chochote kuhusu hili yaani free days then mimba tena after two days hili geni kwangu. Hebu nisaidie
Nahic hazijapita masaa 72 ilah pia anasingizia hawezi kwenda kupima nikimuuliza kwann anasema anajua ni mimba hivo hana haja ya kupimaNi mara chache mtu akajua ana mimba ndani ya siku 2 na ikawa kweli.
Nenda hospitali kapime.
Kama bado hazijapita saa 72 tangu mmegane muulize kama ana mpango wa kulea kama hana nunua dawa zinaitwa P2 atumie hizo.
Mnataka kulea? Kama ndiyo basi acheni mngoje uthibitisho wa kukosa siku zake.Nahic hazijapita masaa 72 ilah pia anasingizia hawezi kwenda kupima nikimuuliza kwann anasema anajua ni mimba hivo hana haja ya kupima
mkuu unapendekeza kutoa mimba?hii si sawa acha wawajibikie walichofanyaNi mara chache mtu akajua ana mimba ndani ya siku 2 na ikawa kweli.
Nenda hospitali kapime.
Kama bado hazijapita saa 72 tangu mmegane muulize kama ana mpango wa kulea kama hana nunua dawa zinaitwa P2 atumie hizo.
Nchi yetu inaposema inafuata uzazi wa mpango inamaanisha inataka watu wazae kwa malengo pia hilo ni neno la siri kwa kusema wanaruhusu abortion...mkuu unapendekeza kutoa mimba?hii si sawa acha wawajibikie walichofanya
Asante step by stepushauri mwingine wahi ukapime ngoma na usisahau kurudi baada ya miezi mitatu coz umefanya ngono isiyo salama
Mi MTU mzm na ninachambua ushauri wenu c kila anayeshauri natekeleza. Hapana!!!! Hilo usijalimkuu unapendekeza kutoa mimba?hii si sawa acha wawajibikie walichofanya
Anagoma tangu Jana tungeshaendaUdom kuna hospital,kwanini msiende kupima??
Ngoja nisubiri nione anachokipangamkuu hakuna dalili za mimba zinazotokea ndani ya siku mbili, the earliest ni 11 days kwenda mbele. kama anawasiwasi apige "morning after pill" window bdo ipo had 72 hrs. lakini mkuu focus kwny kusoma tu km vp au ongeza uelewa wako kwny maswala ya uzazi wa mpango na kuzuia mimba manake utapata shida sana
Uuuuuuuuuuuuiiiiiuuiif nn? Umeona? Duh! Sawa ushauri tuanayo...mm mwwnyewe nimeiona