Msaada katika Gmail acount, baadhi ya email kutofunguka kwenye Inbox,

Msaada katika Gmail acount, baadhi ya email kutofunguka kwenye Inbox,

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,967
Reaction score
9,546
Wakuu kuna Email kwa sasa imegoma kufunguka na inaload and then inarudi pale pale, Ila Inbox zingine zinafunguka bila shida, na imegoma kufunguka baada ya mwanzo kuifungua na kujibu hiyo email sasa kutaka kuona detail zingine muhimu zilizo tumwa imegoma kabisa,

Mwenye kujua tatizo ni nini, ni kwenye Gmail acount
 
Back
Top Bottom